Msaada kazi kubwa ya VPN ni nini?

Msaada kazi kubwa ya VPN ni nini?

Enlightenment umejaribu kugoogle 'free VPNs' (au za kulipia😀) ukakosa?Zipo applications nyingi.Nakushauri ugoogle ujaribu moja moja hadi upate inayokidhi mahitaji yako(Zipo wanazolimit bundle/data kwa siku.
 
Habari wanajamvi?, napenda kufahamu jinsi ya ku-set na kutumia VPN (virtual private network) kwenye PC, natumia window 7. Baadhi ya browsers kama torrents wana-recommend kutumia VPN kama ulinzi wa IP address yako, hivyo ningependa kufahamu jinsi ya kuiweka. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Unaweza ukawa wazi kwanini wewe unahitaji kutumia VPN?
 
Enlightenment umejaribu kugoogle 'free VPNs' (au za kulipia😀) ukakosa?Zipo applications nyingi.Nakushauri ugoogle ujaribu moja moja hadi upate inayokidhi mahitaji yako(Zipo wanazolimit bundle/data kwa siku.
(Zipo wanazolimit bundle/data kwa siku. <<<<<< sijakuelewa hapa mkuu
 
Mkuu, matumizi ya VPN halikadhalika lazima kuwe na part mbili yaani ww User/ Client na service provider wako.

Pia lazima ujue VPN ni Ni private network over/ passing thru over public network

Yaani kwa maana nyingine unasafirisha au unafanya trafficking ya data kati ya ww na provider wako kupitia Public network.

Ninaposema public Network namaanisha ni mitandao yote inayouza internet kwa end user ambapo kibongo bongo ni mitandao ya simu na mingine ni mitandao ya kuuza internet tu ambao hawana voice call au voice data services

Sasa ukitaka kutumia iyo VPN inabidi uwe assured na huyo vendor wako kuwa atasafirisha vp izo Data na wa uwezo kutumia iyo huduma. Kwa maana nyingine inabidi uwe na huduma ya internet au SIM ya mtandao utakao kuwa specified ambao ww utakuwa una access service kupitia huo mtandao thou utakuwa hutumii data za mtandao huo ila utakuwa unatumia Facility zao kupata huduma.

Mara nyingi kunakuwa na App. Au Program kwenye simu au PC yako kwa ajili ya kung'amua au kudecode pamoja na kuwa kama Identity module ya Mtumiaji/ au subscriber ili uwe ma ID na account itakAyokuwa charged na Vendor wako

Huduma ya VPN kwa hapa Tz sidhani kama ina muuongozo wowote na nadhani inapigwa vita na Mamlaka husika pia na Watoa huduma wa internet. Serikali inapenda communication activities zote ziratibiwe na TCRA ili waweze kudhibiti na kulinda maslahi yote ya umma. Sasa mtu unapofanya Communication kwa njia ya VPN ina maana kwamba ume wa bypass TCRA hawawez kumonitor Traffic kwako.

Pia mitandao ya simu ni makampuni ya biashara hivo yanalenga kutengeneza faida hivyo yapo obliged kulipa Kodi, ushuru na Tozo mbalimbali.

Sasa kama ww unatumia huduma ambayo Inakunufaisha ww tu bila kunufaisha Taifa means unapunguza pato la Taifa pia unasababisha Watoa huduma wanaolipa kodi kutokuwa na biashara nzuri


Assume ww ni mfanyabiasha unae import products kutoka overseas eg. China. Pia kuna mtu mwingine anae agiza bidhaa kama ww toka nje ila mkifika Bandarin Wew unalipa Kodi na Duties zote lakini mwenzio anafanya ujanja inapitisha kwa njia za panya then wote mnakutana sokoni kuidha bidhaa. Je ww itakuwa na ushindani na sawa na mwenzio??

Mwenzio anaweza uza bidhaa hata kwa Eg. 5000 na akapata faida while wewe utauza 7000 na bado huoni faida.

Ukiingia kwenye Mtandao utaona watoa huduma wengi tuu wa VPN ila not guarantee kwa hyo huduma kufanya kazi tanzania
Asante Eng. Hazchem plate
 
Back
Top Bottom