Hakuna matumizi mengine zaid ya kutumia internet kama kawaida. Zaid sana utapata Bandle kubwa bei ndogo au kuwa unlimited data kabisaSawa tumekuelewa ila ni vema ukatoa maerekezo ya kutumia
Yes ni vizuri pia kwa sababu unaweza fanya mambo mengi kwenye Linux more than OsWItakuwa vzr pia utumie Ubuntu os kuliko Microsoft windows bila shaka ka mpango kataenda vzr
Mkuu, matumizi ya VPN halikadhalika lazima kuwe na part mbili yaani ww User/ Client na service provider wako.
Pia lazima ujue VPN ni Ni private network over/ passing thru over public network
Yaani kwa maana nyingine unasafirisha au unafanya trafficking ya data kati ya ww na provider wako kupitia Public network.
Ninaposema public Network namaanisha ni mitandao yote inayouza internet kwa end user ambapo kibongo bongo ni mitandao ya simu na mingine ni mitandao ya kuuza internet tu ambao hawana voice call au voice data services
Sasa ukitaka kutumia iyo VPN inabidi uwe assured na huyo vendor wako kuwa atasafirisha vp izo Data na wa uwezo kutumia iyo huduma. Kwa maana nyingine inabidi uwe na huduma ya internet au SIM ya mtandao utakao kuwa specified ambao ww utakuwa una access service kupitia huo mtandao thou utakuwa hutumii data za mtandao huo ila utakuwa unatumia Facility zao kupata huduma.
Mara nyingi kunakuwa na App. Au Program kwenye simu au PC yako kwa ajili ya kung'amua au kudecode pamoja na kuwa kama Identity module ya Mtumiaji/ au subscriber ili uwe ma ID na account itakAyokuwa charged na Vendor wako
Huduma ya VPN kwa hapa Tz sidhani kama ina muuongozo wowote na nadhani inapigwa vita na Mamlaka husika pia na Watoa huduma wa internet. Serikali inapenda communication activities zote ziratibiwe na TCRA ili waweze kudhibiti na kulinda maslahi yote ya umma. Sasa mtu unapofanya Communication kwa njia ya VPN ina maana kwamba ume wa bypass TCRA hawawez kumonitor Traffic kwako.
Pia mitandao ya simu ni makampuni ya biashara hivo yanalenga kutengeneza faida hivyo yapo obliged kulipa Kodi, ushuru na Tozo mbalimbali.
Sasa kama ww unatumia huduma ambayo Inakunufaisha ww tu bila kunufaisha Taifa means unapunguza pato la Taifa pia unasababisha Watoa huduma wanaolipa kodi kutokuwa na biashara nzuri
Assume ww ni mfanyabiasha unae import products kutoka overseas eg. China. Pia kuna mtu mwingine anae agiza bidhaa kama ww toka nje ila mkifika Bandarin Wew unalipa Kodi na Duties zote lakini mwenzio anafanya ujanja inapitisha kwa njia za panya then wote mnakutana sokoni kuidha bidhaa. Je ww itakuwa na ushindani na sawa na mwenzio??
Mwenzio anaweza uza bidhaa hata kwa Eg. 5000 na akapata faida while wewe utauza 7000 na bado huoni faida.
Ukiingia kwenye Mtandao utaona watoa huduma wengi tuu wa VPN ila not guarantee kwa hyo huduma kufanya kazi tanzania
Ndio nn mkuu!
!
OP Kabisa Shinze Iputa
Mkuu kuna mahusiano yoyote ya VPN na PD-proxy?. Kuna kipindi nilikuwa naitumia PD-proxy kuaccess unlimited bundle ila wahusika wakaja kuni-block.Hakuna matumizi mengine zaid ya kutumia internet kama kawaida. Zaid sana utapata Bandle kubwa bei ndogo au kuwa unlimited data kabisa
Pia utakuwa na access ya kutumia webs ambazo zimekuwa barned na mamlaka
Yes ni moja ya VPN.Mkuu kuna mahusiano yoyote ya VPN na PD-proxy?. Kuna kipindi nilikuwa naitumia PD-proxy kuaccess unlimited bundle ila wahusika wakaja kuni-block.
!
!
OP Kabisa Shinze Iputa
Mkuu, matumizi ya VPN halikadhalika lazima kuwe na part mbili yaani ww User/ Client na service provider wako.
Pia lazima ujue VPN ni Ni private network over/ passing thru over public network
Yaani kwa maana nyingine unasafirisha au unafanya trafficking ya data kati ya ww na provider wako kupitia Public network.
Ninaposema public Network namaanisha ni mitandao yote inayouza internet kwa end user ambapo kibongo bongo ni mitandao ya simu na mingine ni mitandao ya kuuza internet tu ambao hawana voice call au voice data services
Sasa ukitaka kutumia iyo VPN inabidi uwe assured na huyo vendor wako kuwa atasafirisha vp izo Data na wa uwezo kutumia iyo huduma. Kwa maana nyingine inabidi uwe na huduma ya internet au SIM ya mtandao utakao kuwa specified ambao ww utakuwa una access service kupitia huo mtandao thou utakuwa hutumii data za mtandao huo ila utakuwa unatumia Facility zao kupata huduma.
Mara nyingi kunakuwa na App. Au Program kwenye simu au PC yako kwa ajili ya kung'amua au kudecode pamoja na kuwa kama Identity module ya Mtumiaji/ au subscriber ili uwe ma ID na account itakAyokuwa charged na Vendor wako
Huduma ya VPN kwa hapa Tz sidhani kama ina muuongozo wowote na nadhani inapigwa vita na Mamlaka husika pia na Watoa huduma wa internet. Serikali inapenda communication activities zote ziratibiwe na TCRA ili waweze kudhibiti na kulinda maslahi yote ya umma. Sasa mtu unapofanya Communication kwa njia ya VPN ina maana kwamba ume wa bypass TCRA hawawez kumonitor Traffic kwako.
Pia mitandao ya simu ni makampuni ya biashara hivo yanalenga kutengeneza faida hivyo yapo obliged kulipa Kodi, ushuru na Tozo mbalimbali.
Sasa kama ww unatumia huduma ambayo Inakunufaisha ww tu bila kunufaisha Taifa means unapunguza pato la Taifa pia unasababisha Watoa huduma wanaolipa kodi kutokuwa na biashara nzuri
Assume ww ni mfanyabiasha unae import products kutoka overseas eg. China. Pia kuna mtu mwingine anae agiza bidhaa kama ww toka nje ila mkifika Bandarin Wew unalipa Kodi na Duties zote lakini mwenzio anafanya ujanja inapitisha kwa njia za panya then wote mnakutana sokoni kuidha bidhaa. Je ww itakuwa na ushindani na sawa na mwenzio??
Mwenzio anaweza uza bidhaa hata kwa Eg. 5000 na akapata faida while wewe utauza 7000 na bado huoni faida.
Ukiingia kwenye Mtandao utaona watoa huduma wengi tuu wa VPN ila not guarantee kwa hyo huduma kufanya kazi tanzania
Nimemshangaa sana jamaa hapo kwenye kukwepa malipo, ujuaji mwingi.Jamaa wa Torrents wame recomend atumie VPN kwa sababu ya securities na wala sio kukwepa malipo kwa Serikali.......cha msingi ni ww kumueleza jinsi ya kutumia/Connect VPN kwenye machine yake.
Hamna summary?? Next time uelewe swali,kukurupuka kujibu sio sifa...Mkuu, matumizi ya VPN halikadhalika lazima kuwe na part mbili yaani ww User/ Client na service provider wako.
Pia lazima ujue VPN ni Ni private network over/ passing thru over public network
Yaani kwa maana nyingine unasafirisha au unafanya trafficking ya data kati ya ww na provider wako kupitia Public network.
Ninaposema public Network namaanisha ni mitandao yote inayouza internet kwa end user ambapo kibongo bongo ni mitandao ya simu na mingine ni mitandao ya kuuza internet tu ambao hawana voice call au voice data services
Sasa ukitaka kutumia iyo VPN inabidi uwe assured na huyo vendor wako kuwa atasafirisha vp izo Data na wa uwezo kutumia iyo huduma. Kwa maana nyingine inabidi uwe na huduma ya internet au SIM ya mtandao utakao kuwa specified ambao ww utakuwa una access service kupitia huo mtandao thou utakuwa hutumii data za mtandao huo ila utakuwa unatumia Facility zao kupata huduma.
Mara nyingi kunakuwa na App. Au Program kwenye simu au PC yako kwa ajili ya kung'amua au kudecode pamoja na kuwa kama Identity module ya Mtumiaji/ au subscriber ili uwe ma ID na account itakAyokuwa charged na Vendor wako
Huduma ya VPN kwa hapa Tz sidhani kama ina muuongozo wowote na nadhani inapigwa vita na Mamlaka husika pia na Watoa huduma wa internet. Serikali inapenda communication activities zote ziratibiwe na TCRA ili waweze kudhibiti na kulinda maslahi yote ya umma. Sasa mtu unapofanya Communication kwa njia ya VPN ina maana kwamba ume wa bypass TCRA hawawez kumonitor Traffic kwako.
Pia mitandao ya simu ni makampuni ya biashara hivo yanalenga kutengeneza faida hivyo yapo obliged kulipa Kodi, ushuru na Tozo mbalimbali.
Sasa kama ww unatumia huduma ambayo Inakunufaisha ww tu bila kunufaisha Taifa means unapunguza pato la Taifa pia unasababisha Watoa huduma wanaolipa kodi kutokuwa na biashara nzuri
Assume ww ni mfanyabiasha unae import products kutoka overseas eg. China. Pia kuna mtu mwingine anae agiza bidhaa kama ww toka nje ila mkifika Bandarin Wew unalipa Kodi na Duties zote lakini mwenzio anafanya ujanja inapitisha kwa njia za panya then wote mnakutana sokoni kuidha bidhaa. Je ww itakuwa na ushindani na sawa na mwenzio??
Mwenzio anaweza uza bidhaa hata kwa Eg. 5000 na akapata faida while wewe utauza 7000 na bado huoni faida.
Ukiingia kwenye Mtandao utaona watoa huduma wengi tuu wa VPN ila not guarantee kwa hyo huduma kufanya kazi tanzania
Nimesha declare hapo mwanzo kuwa huduma ya VPN kibongo bongo haina muongozo wowote. Ni sia ajabu kutumia VPN bongo ikawa ni Kosa ki sheria.Jamaa wa Torrents wame recomend atumie VPN kwa sababu ya securities na wala sio kukwepa malipo kwa Serikali.......cha msingi ni ww kumueleza jinsi ya kutumia/Connect VPN kwenye machine yake.
Unaulizia summary kwa sababu ww unajua nini VPN.Hamna summary?? Next time uelewe swali,kukurupuka kujibu sio sifa...
Povu vepeeUnaulizia summary kwa sababu ww unajua nini VPN.
Ambao hawajui wameshukuru kwa maelezo yangu.
Ko kama ww haijakusaidia pita kushoto. Io article sio lazima imfurahushe kila mtu.
Hata kwa ambae alikuwa hajui ABC kuhusu VPN kasha elewa. Pita iviiiiiiiii[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Ngoja nikuboost na[emoji867]la kàtiPovu vepee
povuNgoja nikuboost na[emoji867]la kàti