Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,640
- 9,263
Kwa hali tunayoelekea VPN ni lazima kwa Tanzania. Kwa ss tunaofanya shughuli nyingi huwezi kuacha kutumia VPN.Unataka VPN Tanzania kufanyia nini kwanza tueleze

Hapana mkuu sio hvo kabisa 100%Mkuu, matumizi ya VPN halikadhalika lazima kuwe na part mbili yaani ww User/ Client na service provider wako.
Pia lazima ujue VPN ni Ni private network over/ passing thru over public network
Yaani kwa maana nyingine unasafirisha au unafanya trafficking ya data kati ya ww na provider wako kupitia Public network.
Ninaposema public Network namaanisha ni mitandao yote inayouza internet kwa end user ambapo kibongo bongo ni mitandao ya simu na mingine ni mitandao ya kuuza internet tu ambao hawana voice call au voice data services
Sasa ukitaka kutumia iyo VPN inabidi uwe assured na huyo vendor wako kuwa atasafirisha vp izo Data na wa uwezo kutumia iyo huduma. Kwa maana nyingine inabidi uwe na huduma ya internet au SIM ya mtandao utakao kuwa specified ambao ww utakuwa una access service kupitia huo mtandao thou utakuwa hutumii data za mtandao huo ila utakuwa unatumia Facility zao kupata huduma.
Mara nyingi kunakuwa na App. Au Program kwenye simu au PC yako kwa ajili ya kung'amua au kudecode pamoja na kuwa kama Identity module ya Mtumiaji/ au subscriber ili uwe ma ID na account itakAyokuwa charged na Vendor wako
Huduma ya VPN kwa hapa Tz sidhani kama ina muuongozo wowote na nadhani inapigwa vita na Mamlaka husika pia na Watoa huduma wa internet. Serikali inapenda communication activities zote ziratibiwe na TCRA ili waweze kudhibiti na kulinda maslahi yote ya umma. Sasa mtu unapofanya Communication kwa njia ya VPN ina maana kwamba ume wa bypass TCRA hawawez kumonitor Traffic kwako.
Pia mitandao ya simu ni makampuni ya biashara hivo yanalenga kutengeneza faida hivyo yapo obliged kulipa Kodi, ushuru na Tozo mbalimbali.
Sasa kama ww unatumia huduma ambayo Inakunufaisha ww tu bila kunufaisha Taifa means unapunguza pato la Taifa pia unasababisha Watoa huduma wanaolipa kodi kutokuwa na biashara nzuri
Assume ww ni mfanyabiasha unae import products kutoka overseas eg. China. Pia kuna mtu mwingine anae agiza bidhaa kama ww toka nje ila mkifika Bandarin Wew unalipa Kodi na Duties zote lakini mwenzio anafanya ujanja inapitisha kwa njia za panya then wote mnakutana sokoni kuidha bidhaa. Je ww itakuwa na ushindani na sawa na mwenzio??
Mwenzio anaweza uza bidhaa hata kwa Eg. 5000 na akapata faida while wewe utauza 7000 na bado huoni faida.
Ukiingia kwenye Mtandao utaona watoa huduma wengi tuu wa VPN ila not guarantee kwa hyo huduma kufanya kazi tanzania
Mkuu, matumizi ya VPN halikadhalika lazima kuwe na part mbili yaani ww User/ Client na service provider wako.

Kwa statement zako inaonekana unania ya kutisha watu wasitumie, kwa hali ilivyo sasa na kwa namna mzee yule anavyotaka kuzima mitandao ni bora zaidi watu wakaanza kuwa na uelewa wa kutumia VPN na sio kutoa vitisho visivyokuwa na msingi wowote.Nimesha declare hapo mwanzo kuwa huduma ya VPN kibongo bongo haina muongozo wowote. Ni sia ajabu kutumia VPN bongo ikawa ni Kosa ki sheria.
Na kama ni Kosa mm siwez ku disclose public jinsi gani ya kutenda kosa. Nilichofanya nimempa ABC ajue VPN ni nini. Na jamaa kama angejua VPN ni illigal basi asinge thubutu kuuliza kirahisi hivi.
Mm nimempa uelewa tuu na yeye ajiongeze.
Seems na ww unajua kutumia VPN its better ukamuelewesha jamaa jinsi ya kutumia
Mm sitoi vitisho mkuu mm mwenyewe nimeshatumia sana ku surf unlimited bandle. Ni kwamba mtoa mada hana uelewa wowote kuhusu VPN na yeye anadhani ni huduma ambayo ipo legal hapa Tanzania. Ndio maana namwambia kuwa ukitumia VPN kibongo bongo wewe ni muahalifu.Kwa statement zako inaonekana unania ya kutisha watu wasitumie, kwa hali ilivyo sasa na kwa namna mzee yule anavyotaka kuzima mitandao ni bora zaidi watu wakaanza kuwa na uelewa wa kutumia VPN na sio kutoa vitisho visivyokuwa na msingi wowote.
Mkuu asante kwa elimu uliyotoa.
kuna cyberghost hawa wanayo ya bure na kulipia, ya bure ina limit speed na kila baada muda inadisconnect halafu inakonnect tena unaweza kutumia hata kwa torrent.Mkuu asante kwa elimu uliyotoa.
Wakati huo unatumia internet yA mtandao gani??kuna cyberghost hawa wanayo ya bure na kulipia, ya bure ina limit speed na kila baada muda inadisconnect halafu inakonnect tena unaweza kutumia hata kwa torrent.
ila baadhi vpn za bure huwa hawaruhusu kudownload torrent na wanablock, vpn ambayo nilikuwa natumia ni openvpn kwa kutumia configurations za vpnbook au kama nikitaka kudownload torrents natumia freevpnme . zote ni bure ila vpnbook hawaruhusu torrents downloading. openvpn inapatikana kwenye windows, linux, mac na android.
Ili uweze kupata kutumia vpnbook au freevpnme kwenye windows cha kwanza pakua software ya openvpn kutoka hapa
https://swupdate.openvpn.org/community/releases/openvpn-install-2.4.6-I601.exe
nenda website ya vpnbook au freevpnme halafu nenda kwenye sehemu ilioandikwa openvpn kwa upande wa vpnbook kwenye freevpnme bonyeza sehemu imeandikwa accounts. hapa utadownload certificate bundles (configurations files) ambazo zipo kwenye zipped folder.
View attachment 756402
extract hilo zipped file na ueke folder katika software ya openvpn kwenye folder limeandikwa config (linapayikana kwa ku-open mycomputer\local disk c\Openvpn\config, kwenye folder utaona mafile yaliyo na huu mfumo .
![]()
baada ya kufanya hayo fungua sasa software ya openvpn ukifungua itaenda kwenye sehemu ya icon tray kama hivi
![]()
utabonyeza right click halafu itatokea kitu kama iko hapo kwenye na utachagua server uitakayo ni vizuri kutumia server zinazotumia protocol ya udp mfano hiyo ya udp25000, kisha bonyeza connect halafu itakuomba username na password hizi utazipata kwenye website husika ya vpnbook au freevpnme. kumbuka kila baada ya wiki wanabadilisha password.
ili kuhakikisha kama uko secure tembelea google search "my ip" ukiona umepewa ip nyingine na device inaonekana ipo nchi nyingine hapo unakuwa tayari vinginevyo bado.
Mitandao mingi maana nilikuwa natumia kwa ajili ya free internet sasa baada ya loops zote kuzibwa sikuonaga umuhimu wa kutumia vpnWakati huo unatumia internet yA mtandao gani??
SubiriKuuliza sio ujinga naomba kujua vpn ninini na naweza kuitumiaje? Ingawa kidogo nimkuwa nikitumia ninapowasha data hazitumiki sana ninapoiconnect.
Mkuu ameelezea vizuri.kiufupi tu, unapo washa data, network provider wako (voda au tigo) hukupa IP address , mfumo wa anuani , ambayo unaibeba pindi unapo surf kwenye neti
web unazotembelea wana ku 'identify' kupitia iyo ip address, kujua pahala ulipo, mtandao unaoutumia, nk, ndio maama jf inaweza kukupa 'ip' ban,
ukitumia vpn, virtual private network, utapewa 'virtual ip' kama anuani yako mpya, unapoingia web, utaonekana kama vile una surf from marekani kumbe mnyama upo tz tandale
hii itawezesha pia usijulikane pahala halisi ambapo upo + kutembelea web ambazo zimezuiwa nchini mwako! hayo ni baadhi
don't fool us, you cannot trace back VPN user labda kama anatumia hizi za bureVpn ni inafanya kazi kama internet tu, ila vpn inabadilisha ile public network unayopewa na ISP (Internet Service Provider) kwenda Private network. Kwahiyo vpn inakupa IP address mpya ambayo inategemea na server ipi inakupa huduma. ISP itakuwa haijuwi ni kitu gani unafanya na haijui kama unatumia VPN, ila sisi tunaweza kuku trace back.
Kuna huduma nyengine zinaitwa TOR na I2P, hizi ni anonymous network, hizi program ni bure na unaweza ku install katika windows, linux na Android. Unapotumia hizi hudma za TOR na I2P, Isp inajua kama unatumia ila haijui unafanya nini. Kwahiyo ni uzuri kutumia VPN pamoja na moja katika hizi TOR au I2P.
Note: Windows ni operating system ambayo haina garantee na usalama wako hata kama unatumia hizi huduma.
Zinafanya kazi vizuri tu, mfano mzuri ni CyberGhost jaribu hiyo program.
Swali la kwanza unata2mia paid au free?
But kama unataka fanya serious damage use paid vpn....eg expressvpn etc
Free vpn jarib hotspotshield
But 4serious damage dont use only vpn bcoz it leaks ur dns sometimes...use tor or socks 5 z mo secure that vpn
B4 u hav to install ccleaner to claear ur browser history...
Nb:socks 5 is best by far
Dont b affraid to use torrents without hide ur ip while in Tz u might worry when ur in other content apart frm africa
Disclimar:i am not xpert its frm my personal xprience
Wat i wrote hre is for educational purpose am not concern for any illegal use
VIPI MKUU INAWEZA FANYA FREE INTERNETkuna cyberghost hawa wanayo ya bure na kulipia, ya bure ina limit speed na kila baada muda inadisconnect halafu inakonnect tena unaweza kutumia hata kwa torrent.