ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
Cabron Copy Njunwa Wamavoko
Last edited by a moderator:
Elimu ya kutosha kuhusu VPN iko hapamwenye Elimu yoyoye kuhusu hii Vpn... naomba msaada..??
Inachofanya Ni Ku change ip address mfano 192.168.10.4 basi itakupa 172.16.10.5 na location pia it change kulngana na ulivyo set server ya vpn yako kama location yako upo dar na ume select server ya Italy basi itaonesha upo uko labla mji wa Roma uko, ayo ndo nijuayo if am wrong basi wajuzi wa mambo watapita weka correctNimekua nikipenda sana hii kitu ila sijajua inafanyaje kazi kuficha IP address yako ili isionekane kwa unam request.
Nimechukulia mfano mdogo tuu kutumia wi fi, lazima uone device zinazotumia na IP address zake!
Sasa unaposema unaficha ni kwamba owner hata iona sio! sasa hii inakuaje?
Nipeni hiyo mechanism plz, nimejaribu kucheki youtube na site kibao bado sijapata jibu la uhakika.
Sasa mkuu huoni kama inakua VPN nyingine hiyo inaweza kudondokea kwa mtu mwingine na ni hatari sana kwa huyo mtu kwa usalama wake? simply because atakua chini ya ulinzi wakati upelelezi unafanyika?Inachofanya Ni Ku change ip address mfano 192.168.10.4 basi itakupa 172.16.10.5 na location pia it change kulngana na ulivyo set server ya vpn yako kama location yako upo dar na ume select server ya Italy basi itaonesha upo uko labla mji wa Roma uko, ayo ndo nijuayo if am wrong basi wajuzi wa mambo watapita weka correct
Wana Jf naombeni Msaada wenu VPN kwenye maswala ya internet ina kazi gani?
Kwa upande Wangu nilikuwa nataka kujisecurity yani napokuwa nafungua website yeyote kwa kutumia smart phone Yangu wasiweze kunitrack nakujua IP Yangu na Mac address ya Simu Yangu nawaombeni wenye uwelewa mkubwa zaidi Yangu mnisaidie tafadhali.
maybe kutumia kwa kubypass mitandao iliyofungiwa.Unless unafanya vitu mitandaoni ambavyo vinahitaji usiri sana sikushauri utumie vpn, Kama ni vitisho kwamba serikali ina uwezo wa kuangalia chats zako za whatsapp ama facebook yako ondoa hofu, Hii mitandao sio kama voda ambayo unaweza kuchunguzwa mesej zako na call logs,
Wamekuja,nakuona na wewe umekaribia,karibu tupeane elimu.Wamekugomea
Asante mkuu kwa ufafanuzi murua.Mkuu, matumizi ya VPN halikadhalika lazima kuwe na part mbili yaani ww User/ Client na service provider wako.
Sawa tumekuelewa ila ni vema ukatoa maerekezo ya kutumiaMkuu, matumizi ya VPN halikadhalika lazima kuwe na part mbili yaani ww User/ Client na service provider wako.
Pia lazima ujue VPN ni Ni private network over/ passing thru over public network
Yaani kwa maana nyingine unasafirisha au unafanya trafficking ya data kati ya ww na provider wako kupitia Public network.
Ninaposema public Network namaanisha ni mitandao yote inayouza internet kwa end user ambapo kibongo bongo ni mitandao ya simu na mingine ni mitandao ya kuuza internet tu ambao hawana voice call au voice data services
Sasa ukitaka kutumia iyo VPN inabidi uwe assured na huyo vendor wako kuwa atasafirisha vp izo Data na wa uwezo kutumia iyo huduma. Kwa maana nyingine inabidi uwe na huduma ya internet au SIM ya mtandao utakao kuwa specified ambao ww utakuwa una access service kupitia huo mtandao thou utakuwa hutumii data za mtandao huo ila utakuwa unatumia Facility zao kupata huduma.
Mara nyingi kunakuwa na App. Au Program kwenye simu au PC yako kwa ajili ya kung'amua au kudecode pamoja na kuwa kama Identity module ya Mtumiaji/ au subscriber ili uwe ma ID na account itakAyokuwa charged na Vendor wako
Huduma ya VPN kwa hapa Tz sidhani kama ina muuongozo wowote na nadhani inapigwa vita na Mamlaka husika pia na Watoa huduma wa internet. Serikali inapenda communication activities zote ziratibiwe na TCRA ili waweze kudhibiti na kulinda maslahi yote ya umma. Sasa mtu unapofanya Communication kwa njia ya VPN ina maana kwamba ume wa bypass TCRA hawawez kumonitor Traffic kwako.
Pia mitandao ya simu ni makampuni ya biashara hivo yanalenga kutengeneza faida hivyo yapo obliged kulipa Kodi, ushuru na Tozo mbalimbali.
Sasa kama ww unatumia huduma ambayo Inakunufaisha ww tu bila kunufaisha Taifa means unapunguza pato la Taifa pia unasababisha Watoa huduma wanaolipa kodi kutokuwa na biashara nzuri
Assume ww ni mfanyabiasha unae import products kutoka overseas eg. China. Pia kuna mtu mwingine anae agiza bidhaa kama ww toka nje ila mkifika Bandarin Wew unalipa Kodi na Duties zote lakini mwenzio anafanya ujanja inapitisha kwa njia za panya then wote mnakutana sokoni kuidha bidhaa. Je ww itakuwa na ushindani na sawa na mwenzio??
Mwenzio anaweza uza bidhaa hata kwa Eg. 5000 na akapata faida while wewe utauza 7000 na bado huoni faida.
Ukiingia kwenye Mtandao utaona watoa huduma wengi tuu wa VPN ila not guarantee kwa hyo huduma kufanya kazi tanzania