Msaada,kati ya Single and Double Door Refregerators.

Geniustin

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
4,379
2,827
Kichwa cha habar chahusika; Naomba kuuliza, hivi kati ya Friji yenye mlango mmoja, na ile ya milango miwili;; ni ipi chaguo zuri kwa matumizi ya nyumbani?? Ipi ni nzur na faida zake??? Ungekuwa wewe ungenunua Friji ipi kati ya yenye mlango mmoja? Au miwili???

Msaada Bandugu.

Natanguliza Shukrani za dhati.
 
ukisema milango miwili unamaanisha nini? sababu kuna milango miwili ya aina mbili
1. milango miwili kwa maana ya wa juu na chini
fridge-article_205.jpg

2.milango miwili kwa maana ya kushoto na kulia
51f6e61ffb04d63d4e005889._w.540_s.fit_.jpg

milango miwili kwa maana juu na chini ina faida sababu mara nyingi juu huwa ni sehemu ya kugandisha na chini utaeka vitu vinavyotaka baridi ya kiasi, na mengine yanakuwa na droo chini kwa ajili ya mboga.

fridge zenye mlango mmoja nyingi sehemu ya kugandisha si kubwa sana, hivyo huwezi hifadhi kitoweo kwa wingi
 
Niko Single, ila nataka kitu chenye ubora na kinachofaa. Sitaki kuwa nabadili badili vitu vya aina moja.
Msaada ndugu wa kuelimishwa.
 
ukisema milango miwili unamaanisha nini? sababu kuna milango miwili ya aina mbili
1. milango miwili kwa maana ya wa juu na chini
fridge-article_205.jpg

2.milango miwili kwa maana ya kushoto na kulia
51f6e61ffb04d63d4e005889._w.540_s.fit_.jpg

milango miwili kwa maana juu na chini ina faida sababu mara nyingi juu huwa ni sehemu ya kugandisha na chini utaeka vitu vinavyotaka baridi ya kiasi, na mengine yanakuwa na droo chini kwa ajili ya mboga.

fridge zenye mlango mmoja nyingi sehemu ya kugandisha si kubwa sana, hivyo huwezi hifadhi kitoweo kwa wingi

Amina Chief Mkwawa. Nakushukuru sana,Ubarikiwe sana.
 
Tafta frig ya LG amabayo juu n frezer yaaan kwjil ya kugandisha
Chini frig kwaajil ya ubarid na bejet andaa kama lak 7 ivii

So,hiyo LG inakuwa na Milango miwili ya juu na chini?
Asante sana mavangah kwa ushauri mzuri. Ubarikiwe sana,

Nitaitafuta hiyo LG Friji.
 
chukua ya milango miwili... yenye sehemu ya kugandishia na seheme ya kuhifandia.

Nashukuru Ndugu, Mi Zamani nikajua zenye mlango Mmoja ndo za kisasa eti, hahahh. Kumbe nilkuwa sifahamu.

Nashukuru kwa ushauri,Naufanyia kazi.
 
ukisema milango miwili unamaanisha nini? sababu kuna milango miwili ya aina mbili
1. milango miwili kwa maana ya wa juu na chini
fridge-article_205.jpg

2.milango miwili kwa maana ya kushoto na kulia
51f6e61ffb04d63d4e005889._w.540_s.fit_.jpg

milango miwili kwa maana juu na chini ina faida sababu mara nyingi juu huwa ni sehemu ya kugandisha na chini utaeka vitu vinavyotaka baridi ya kiasi, na mengine yanakuwa na droo chini kwa ajili ya mboga.

fridge zenye mlango mmoja nyingi sehemu ya kugandisha si kubwa sana, hivyo huwezi hifadhi kitoweo kwa wingi
Mkuu ni brand gani unashauri hasa katika firdge na ni specs zipi muhimu kuangalia
 
Back
Top Bottom