Msaada: Kaka yangu anaombwa rushwa ili kusainiwa cheki ya mafao yake NSSF

TAKUKURU si hadi awe na ushahidi, kama hana atasumbuliwa napo...
Mbona anawalea hao jamaa! Anatakiwa awe aggresive huyo anayemzingua amchane live hatoi chochote, then aende kwa bosi wake.
Hofu ni kitu kibaya sana maishani as long as ni haki yako.
 
Heri ya mwaka mpya ndugu wama jf,

Nashukuru Mungu, hatimae kaka yangu amelipwa haki zake ijapokua amekatwa sana, lakini amelipwa.


Nitoe pongezi za dhati kwa bwana. Mafao wa nssf HQ pale kwa moyo wake wa kujali na kushughulika na kero za kila mtu.

Mungu akubariki sana mzee.
 
Back
Top Bottom