Msaada: Kaka yangu anaombwa rushwa ili kusainiwa cheki ya mafao yake NSSF

MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,401
1,298
Habari wana jf,
Natumai mko salama.

Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kaka yangu anasumbuliwa sana kulipwa haki yake na hawa watu wa nssf, baadhi ya maofisa wanamlazimisha atoe rushwa ilicheki yake iweze kusainiwa, kitu ambacho amegoma.

Hivyo, kwa makusudi kabisa wanamsumbua na kumuhangaisha kwa muda mrefu sana.

Najua humu kuna watu wa aina mbali mbali na ninaamini mnaweza kumsaidia kaka yangu kupata 'haki yake'.

Tafadhali, nawasihi naombeni ambao mnayo nafasi kwenye eneo husika mumsaidie kaka yangu.
Natanguliza shukrani
 
Mwambie aende akachukue pesa ya moto aje awaunguze! Wao wamemwaga mboga mwambie yeye amwage ugali!
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Ndiyo kusema kuwa hata Wewe Dada ukiambiwa utoe ' mbunye ' yako usaidiwe kitu fulani utakuwa tayari?
kwani huyu kaambiwa atoe "dudu" au pesa?mie pesa nampa vzur..kama mtu kajitokeza kumsaidia,ampe tu asaidiwe fasta aendelee na mambo mengine
 
Habari wana jf,
Natumai mko salama.

Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kaka yangu anasumbuliwa sana kulipwa haki yake na hawa watu wa nssf, baadhi ya maofisa wanamlazimisha atoe rushwa ilicheki yake iweze kusainiwa, kitu ambacho amegoma.

Hivyo, kwa makusudi kabisa wanamsumbua na kumuhangaisha kwa muda mrefu sana.

Najua humu kuna watu wa aina mbali mbali na ninaamini mnaweza kumsaidia kaka yangu kupata 'haki yake'.

Tafadhali, nawasihi naombeni ambao mnayo nafasi kwenye eneo husika mumsaidie kaka yangu.
Natanguliza shukrani

Hio forum emeviwa na vitoo, hakuna msaada siku hizi.

NSSF malipo yao no madogo sana. Hebu weka maelezo zaidi achana na vinuka mikojo
 
Siku hizi JF ukitaka upate msaada labda uulize jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni......au jinsi ya kusugua papuchi kwa muda mrefu.....lakini si katika mambo ya msingi kama haya.......

Maana yake ni kwamba wajinga na wapumbavu wameongezeka....hivyo watu wenye busara wameona si vyema kujiweka karibu na wajinga na kujiweka pembeni.....

Zamani JF ilikuwa kisima cha maarifa sasa hivi nj kisima cha ujinga.....

Taarifa hizi ziwafikie mods....jf irudi katika misingi yake

Malalamiko ya mtoa mada yanaweza kumkuta mtu yeyote yule...hivyo mchango wa uzi huu ungeleta manufaa makubwa sana.,,,
 
kwani huyu kaambiwa atoe "dudu" au pesa?mie pesa nampa vzur..kama mtu kajitokeza kumsaidia,ampe tu asaidiwe fasta aendelee na mambo mengine

huhjui safar moja huanzisha nyingne!!! na ukiweza toa kidogo kikubwa hutashindwa...
 
Siku hizi JF ukitaka upate msaada labda uulize jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni......au jinsi ya kusugua papuchi kwa muda mrefu.....lakini si katika mambo ya msingi kama haya.......

Maana yake ni kwamba wajinga na wapumbavu wameongezeka....hivyo watu wenye busara wameona si vyema kujiweka karibu na wajinga na kujiweka pembeni.....

Zamani JF ilikuwa kisima cha maarifa sasa hivi nj kisima cha ujinga.....

Taarifa hizi ziwafikie mods....jf irudi katika misingi yake

Malalamiko ya mtoa mada yanaweza kumkuta mtu yeyote yule...hivyo mchango wa uzi huu ungeleta manufaa makubwa sana.,,,
Mkuu umeandika vyema hasa. Siku hizi humu JF ukiuliza swali kuhusu ngono, kila mtu atakujibu, lakini mtu akiuliza mambo ya maana anaishia kupokea kejeli na matusi. Sio siri JF imepoteza muelekeo kabisa. Na hao mods sijui vipi, wao wako kimya tu. Kuna kitu lazima kifanyike ili kurudisha heshima ya JF. Inasikitisha kuona ngono inapewa nafasi kubwa mno.
 
Tatizo vimejaa vitoto vya Facebook
 
Inauma sana, mwambie bro asitoe hata shilingi moja.
Hawa nssf wana ninj?
Mimi nilikuwa PPF sikusumbuliwa hata maramoja na bikapata mafao yangu.
Tena wale wafanyakazi wa PPF ya pale sayansi kabla haijahamishiwa hapa opposite na osterbay wana roho nzuri sana wana lugha tamu wanakuelekeza vizuri hawana njaa.
Very supportive.
Huko nssf kuna nini?
Dr Dau aliacha misingi gani? Kama aliacha mizuri why mnaisahau?
Je vitabu vya dini vinawaambiaje?

Hao wafanyakazi wana laana.
Bro usitoe chochote. Kwanza watu wanaruhusiwa kuchukua mafao kabla ya 60 ? Bro ana miaka mingapi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom