Msaada: Kaibiwa iPhone halafu mwizi anaonekana Online akichat

Nenda polisi mkuu simu yako utaipata amini ivooo... Polis wanaweza kuwa na madhaifu yao lakini sio kwa upande huoooo

Sasa wewe umeibiwa/umepoteza simu naaliyekuibia au ulipopotezea kalifanya kama likopokopo tu unadhani utaipata? Simu ili uipate ni lazima aliyeiokota/aliyekuibia aweke chip yake ndio utampata ila kama kageuza likopo uwezi kuipataa
 
... siku utakapoja kuibiwa au kupoteza simu halafu ikaenda kutumika kwenye uhalifu (e.g. mauwaji, ugaidi, utapeli - tuma pesa kwa namba hii, etc.) utakuja kuzoea password bila kuhimizwa na mtu! Don't wait until the worst faces you; take precautions!
Simu niishapoteza sana ila sijawahi kuwaza kwamba password ni kitu kigumu kumshinda mtu kutoa akishaiba simu, nadhani huwa mnafanya hivyo kwa ajiri ya privacy na sio kitu kingine.
 
Ndo umekuja kushtaki huku? Simu yako yenyewe imechoka kinyama. Iphone ya kichina,kioo kimepasuka,ina stuck kila wakat na kupata moto kama pasi ya mkaa. Nilikwambia nitumie 150,000 nikurudishie unakomaa kichwa. Haina shida ntaendelea kukuharibia hadi kwa mademu zako wote. Maana nmeanza na Fatuma na Mwanahawa. Hawa tayari nimewafanya wajuane. Tuma hiyo pesa nikuelekeze pa kupata hiyo simu yako kimeo. Na kuna mtu amekutumia tsh 240,000 nipe password nitoe then nikurudishie kimeo chako...
 
Mkuu niliibiwa simu maeneo ya Green grounds-Oysterbay, nikareport police oystertbay , Nikapewa maelekezo kuwa niwe na subra jambo langu linafanyiwa kazi, Juzi nikapigiwa simu na Askari niende nikachukue simu yangu kituoni.
Wakiamua wanaweza ila wengi ni wababaishaji.
Kuna mdau hapo juu kasema hicho kitengo kinafanya kazi vizuri ikiwa wao ndio wanakuhitaji. Nakubaliana nae 100%
 
Kama kweli umepata namba ya mwizi fanya hivi,chukua cm yeyote vile mpigie alafu ujifanye umekosea namba lkn hakikisha unamuuuliza ilpokuwa wapi. Baaada ya hapo tafuta cm nyingine mpigie mwambie hivi mm fulani bin fulani taja majina ya uwongo mwambie jana nilikuwa mahabusu jata kituo kilichopo na hapo mwambie nilikamatwa kwa kosa la uzululaji,lkn kule nimekutana na jamaaa ambae nae amekatwa kwa kosa kama hilo na amenips namba yako nikupigie,polic wanataka 20000 wamuachie yeye anayo 15000 sasa njoo na 5000 kituoni muda fulani mm utsnikuta pale kuna jambo namlizia ili umtoe mwana

Yaaaani mtuhumiwaanajileta polic mwenyewe
Huyo mwizi akija kwanjia hii basi ndo atakua mwizi mjinga kuliko wote duniani, njia nzuri ni kutumia demu kama wafilisti walivyomtumia delila kumpata samsoni
 
Kama kweli umepata namba ya mwizi fanya hivi,chukua cm yeyote vile mpigie alafu ujifanye umekosea namba lkn hakikisha unamuuuliza ilpokuwa wapi. Baaada ya hapo tafuta cm nyingine mpigie mwambie hivi mm fulani bin fulani taja majina ya uwongo mwambie jana nilikuwa mahabusu jata kituo kilichopo na hapo mwambie nilikamatwa kwa kosa la uzululaji,lkn kule nimekutana na jamaaa ambae nae amekatwa kwa kosa kama hilo na amenips namba yako nikupigie,polic wanataka 20000 wamuachie yeye anayo 15000 sasa njoo na 5000 kituoni muda fulani mm utsnikuta pale kuna jambo namlizia ili umtoe mwana

Yaaaani mtuhumiwaanajileta polic mwenyewe
Duuuh mtuhumiwa huyu huyu aje kituoni!! Labda awe usingizini
 
Kuna mwizi anaweza kuwa fara kiasi hiki?
 
.... watanzania tunapuuza sana vitu vya msingi kama ku-set passwords na kutunza IMEI tukiibiwa ndio fahamu zinatujia kuhusu umuhimu wa hivyo vitu! Utakuta kifaa cha gharama lakini wala mtu hajisumbui kuweka basic security settings za kifaa chake; laptops, simu, etc.
Tisha sana Dudus
 
Njoo.Simiyu.huku Kuna mtaalamu anaitwa _Bwana Nyuki_Mwenye Simu Yako, atang'ang'aniwa na kundi la nyuki Mwili mzima mpaka atakutafuta tu..
 
Jamani msaada wa haraka unahitajika kuna ndugu yangu kaibiwa simu sasa aloiba simu yupo online watssap na namba hiyo hiyo ya jamaa na anawapa watu hadi namba za kutuma hela.

Hapa nini kifanyike tumkamate mwizi? Na kizuri ni kuwa aloiba tushapata namba yake ambayo baada ya kuiba simu alikua anaomba atumiwe hela kwa namba ya simu ambayo alimtumia mmojawapo wa ndugu yangu.

Msaada wa haraka unahitajika hapa nini kifanyike jamaa apate simu?
Wewe hiyo simu umeibiwa na ndugu yako kwani simu za ios mtu awezi kuondoa pass word labda kama anazijua na maeshaziona.... wizi huu ni wazi aliyehusika ni mtu wako wa karibu anaye kufahamu vyema na ambaye huwa anapata muda wa kushika simu yako....
Labda utwambie kuwa ulicho kiandika sio kweli na una maanisha line yako ndio inatumika na sio hadi simu anatumia au utwambie hukuweka pass cord.
 
Nenda polisi mkuu simu yako utaipata amini ivooo... Polis wanaweza kuwa na madhaifu yao lakini sio kwa upande huoooo

Sasa wewe umeibiwa/umepoteza simu naaliyekuibia au ulipopotezea kalifanya kama likopokopo tu unadhani utaipata? Simu ili uipate ni lazima aliyeiokota/aliyekuibia aweke chip yake ndio utampata ila kama kageuza likopo uwezi kuipataa
daaaaah.
 
" Amfuatie huko huko online,watawezana " ni sauti ya mlevi mmoja toka bar mojawapo maarufu jijini Nairobi.
Naomba kuwasilisha!
 
Akifuatilia ataipata kunamtu aliibiwa juzi simu ya smartphone bahati nzuri alikuwa na IMEI za hiyo simu aliripoti polis wakafuatilia akapata simu yake tena within two days
 
.... watanzania tunapuuza sana vitu vya msingi kama ku-set passwords na kutunza IMEI tukiibiwa ndio fahamu zinatujia kuhusu umuhimu wa hivyo vitu! Utakuta kifaa cha gharama lakini wala mtu hajisumbui kuweka basic security settings za kifaa chake; laptops, simu, etc.

Umeandika vema sana mkuu moja ya sifa kuu simu za iPhone ni security kitu ambacho laiti mwenye simu angekuwa na uelewa nacho angeweza hata kuizima hiyo simu likabaki kopo tu!
 
Pamoja na makando kando yao,Polisi watakusaidia hili jambo mkuu.
Mkuu niliibiwa simu maeneo ya Green grounds-Oysterbay, nikareport police oystertbay , Nikapewa maelekezo kuwa niwe na subra jambo langu linafanyiwa kazi, Juzi nikapigiwa simu na Askari niende nikachukue simu yangu kituoni.
Acha uongo
Niliibiwa simu mbili na zote nimepata
Mbona wanasaidia sn tu,mi mwenyewe nina mifano ya watu walipoteza cm wlienda polisi na walipata cm zao
Akifuatilia ataipata kunamtu aliibiwa juzi simu ya smartphone bahati nzuri alikuwa na IMEI za hiyo simu aliripoti polis wakafuatilia akapata simu yake tena within two days
Binafsi nasema hivi hivi,

Ni kweli Hawa jamaa ni wazinguji mara nyingi, ila mimi pia nishashuhudia washkaji zangu wawili wakipewa simu zao na mwizi kulipa faini, bila ya washkaji kutoa chochote wala kupoteza mda mrefu,

Walitoa raarifa wakaambiwa tuna foleni kubwa ya ku track watu kueni na subira, siku ya siku mmoja baada ya mwingine kwa siku tofauti wanapigiwa simu wakachukue simu zao na watuhumiwa wakiwa ndani, wakalipa na faini zote, Na guess what? Mmoja alikamatiwa Mbeya, akaletwa mpaka Dodoma(ilikua ni pale dodoma central)

Huyo mwingine baada ya kumtrack wakapata namba zake za simu Polisi wakampigia ajisalimishe, maana walimtajia eneo alilopo mda huo, watu anao ongea nao kwenye simu, na isitoshe polisi walishaongea mpaka na watu wake wa karibu, jamaa kuona hivyo alijipeleka mwenyewe polisi, bahati mbaya kumbe aliuziwa, lakini No way akatoa simu na mafaini kibao,

Mfano hai Mwingine Mimi kuna demu nirafiki yangu, kipindi nipo chuo, hio siku tumekaa kwenye kibweta tunasoma, alipigiwa Simu na polisi, akaambiwa "hio simu unayotumia ni ya wizi, watu wako unao ongea nao sana ni hawa, umeanza kuitumia siku flani, na sasahivi upo sehemu flani, kwahio simu ina kesi, iwe umeiba wewe au laa ila lete kituoni"

Simu imekata tuu, mtu huyo chini Buuuu!, nikamsaidia pale alipopata network nikamwambia twende usijali, BAHATI nzuri alikua na namba ya aliyemuuzia kufika wakamwambia tuachie, jamaa akadakwa kibabe, akamlipa dada pesa yake, yaliyoendela hatujui.

Kwahio kwa ufupi hawa jamaa uwezo wanao, na wakikusubilisha Pengine wanataka chochote, au Ni foleni, maan ukweli ni kwamba hizo kesi ni nyingi sanaa, au sasa pengine kwa bahati mbaya ni kweli unakula kamba,

Ila Makando kando yao mengi ndio yanafanya watu tusiwaamini.

Lakini pia kumbuka kuriport polisi sio tuu kuipata simu yako, lakini pia, umepoteza simu yako bado una majozi, kumbe inatumika katika uhalifu, unapigiwa simu polisi badala uambiwe njoo uchukue simu yako, unaambiwa wewe kwa kutumia simu yako umefanya matukio haya na haya ya kihalifu... Ukifika utadai "nilipoteza!" ni simple tuu watakuuliza "uli riport?", "hapana", "Ni kwamba ulidharau.." "Kesi juu yako..."

Tena mazingira kama hayo ndio magumu sana kama mtumiaji anatumia namba hio hio tena.
Mshauri aende polisi.

Aksante.
 
Ni tumie namba Izo ni kuchekie kwenye simu yangu Kuna app fulani ambayo na itumia kama Jamaa bado anatumia simu iyo na amini hakika itapatikana
 
Back
Top Bottom