Msaada: Kaibiwa iPhone halafu mwizi anaonekana Online akichat

Mkuu niliibiwa simu maeneo ya Green grounds-Oysterbay, nikareport police oystertbay , Nikapewa maelekezo kuwa niwe na subra jambo langu linafanyiwa kazi, Juzi nikapigiwa simu na Askari niende nikachukue simu yangu kituoni.
Yawezekana askari ni ndugu yako au wewe ni mwanaccm maarufu
 
Mkuu niliibiwa simu maeneo ya Green grounds-Oysterbay, nikareport police oystertbay , Nikapewa maelekezo kuwa niwe na subra jambo langu linafanyiwa kazi, Juzi nikapigiwa simu na Askari niende nikachukue simu yangu kituoni.
Ulikaa muda gani

Una bahati mno, mie nimesamehe kabisa simu yangu pamoja na kuwa na details zote
 
Kama kweli umepata namba ya mwizi fanya hivi, chukua simu yeyote vile mpigie alafu ujifanye umekosea namba lkn hakikisha unamuuuliza ilpokuwa wapi. Baaada ya hapo tafuta simu nyingine mpigie mwambie hivi mimi fulani bin fulani taja majina ya uwongo mwambie jana nilikuwa mahabusu jata kituo kilichopo na hapo mwambie nilikamatwa kwa kosa la uzululaji, lakini kule nimekutana na jamaaa ambae nae amekatwa kwa kosa kama hilo na amenips namba yako nikupigie,polic wanataka 20000 wamuachie yeye anayo 15000 sasa njoo na 5000 kituoni muda fulani mm utsnikuta pale kuna jambo namlizia ili umtoe mwana

Yaaaani mtuhumiwa anajileta polisi mwenyewe
 
[emoji23] ushaibiwa simu unapiga unataka kuongea nini na huyo mwizi?..... nenda polisi mkuu kareport ila ukitaka kumfatilia hakikisha una pesa za kutosha za kuhonga polisi
 
.... watanzania tunapuuza sana vitu vya msingi kama ku-set passwords na kutunza IMEI tukiibiwa ndio fahamu zinatujia kuhusu umuhimu wa hivyo vitu! Utakuta kifaa cha gharama lakini wala mtu hajisumbui kuweka basic security settings za kifaa chake; laptops, simu, etc.
Daah kwakweli mimi suala la kuweka password kwenye simu nimeshindwa kabisa kulizoea.
 
Tatizo siyo kwamba watu hawapo serious NO watu wapo makini sana.

Mfano, umepigwa na simu au kifaa chako umeweka hayo mapassword labda aliyekuibia awe ndiyo mara yake ya kwanza ila kama ni wale wezi, jambo la kwanza ni kwa fundi wake, anaiflash na kuingia sokoni.

Pale kariakoo Dar Es Salaam kuna watu hizo ndizo kazi zao tu.
 
Kama kweli umepata namba ya mwizi fanya hivi,chukua cm yeyote vile mpigie alafu ujifanye umekosea namba lkn hakikisha unamuuuliza ilpokuwa wapi. Baaada ya hapo tafuta cm nyingine mpigie mwambie hivi mm fulani bin fulani taja majina ya uwongo mwambie jana nilikuwa mahabusu jata kituo kilichopo na hapo mwambie nilikamatwa kwa kosa la uzululaji,lkn kule nimekutana na jamaaa ambae nae amekatwa kwa kosa kama hilo na amenips namba yako nikupigie,polic wanataka 20000 wamuachie yeye anayo 15000 sasa njoo na 5000 kituoni muda fulani mm utsnikuta pale kuna jambo namlizia ili umtoe mwana

Yaaaani mtuhumiwaanajileta polic mwenyewe

Hawezi kuja over
 
Hii mbinu anaistukia mapema sana....
 
Una uhakika gani kuwa huyo Mwizi sio member wa JF? Bila shaka yumo humu na anafuatilia kila kitu.
 
Kuripoti Polisi haimaanishi tu ili uipate Simu yako bali ni taarifa ambapo hata kama simu iliyoibwa ikitumika kwenye uvunjifu wa sheria isijulikane kua ni wewe ndio unaitumia,

Fikiria mfano yametokea mauaji sehemu halafu ikakutwa hiyo simu au namba yako ilitumika,unafikiri Polisi watakuacha na hukua umetoa taarifa kua Simu yako imeibwa?
 
Jamani msaada wa haraka unahitajika kuna ndugu yangu kaibiwa simu sasa aloiba simu yupo online watssap na namba hiyo hiyo ya jamaa na anawapa watu hadi namba za kutuma hela.

Hapa nini kifanyike tumkamate mwizi? Na kizuri ni kuwa aloiba tushapata namba yake ambayo baada ya kuiba simu alikua anaomba atumiwe hela kwa namba ya simu ambayo alimtumia mmojawapo wa ndugu yangu.

Msaada wa haraka unahitajika hapa nini kifanyike jamaa apate simu?
Nenda polisi kituo cha kati Dar, hapo utakutana na kitengo cha Cyber Crime wape taarifa na leoleo utaipata simu na mtuhumiwa.
 
Tatizo siyo kwamba watu hawapo serious NO watu wapo makini sana.

Mfano, umepigwa na simu au kifaa chako umeweka hayo mapassword labda aliyekuibia awe ndiyo mara yake ya kwanza ila kama ni wale wezi, jambo la kwanza ni kwa fundi wake, anaiflash na kuingia sokoni.

Pale kariakoo Dar Es Salaam kuna watu hizo ndizo kazi zao tu.
... tunapoweka mageti na magrili majumbani haimaanishi professional thieves wakiamua hawawezi kukuibia; that's just first level security measure; then inafuata mlinzi; CCTV; etc. Kwa password hata kama mwizi ata-flash angalau utakuwa umezuia taarifa zako muhimu (mawasiliano yako). Pili, suppose mwizi akiitumia kwenye uhalifu? Matokeo yake unayajua? Hadi polisi wakuelewe sio wewe, jasho litakuwa limekutoka! Why all these?

Kwa upande wa IMEI sina hakika kama flushing ina uwezo wa kuifuta. Ukiitunza itasaidia kurahisisha kazi ya forensic pale simu inapoibiwa. How much does it cost to keep it? Tatizo ni negligence zisizo na sababu.
 
Daah kwakweli mimi suala la kuweka password kwenye simu nimeshindwa kabisa kulizoea.
... siku utakapoja kuibiwa au kupoteza simu halafu ikaenda kutumika kwenye uhalifu (e.g. mauwaji, ugaidi, utapeli - tuma pesa kwa namba hii, etc.) utakuja kuzoea password bila kuhimizwa na mtu! Don't wait until the worst faces you; take precautions!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom