hbi
JF-Expert Member
- Feb 6, 2011
- 678
- 298
Habari wana jamii... naomba mnisaidie juu ya hili suala limekua likinipashida sana... kwa wale watengenezaji wa website au blog, unakuta umedownload free template lakini wanakuambia haitakiwi kuondoa zile link za kwenye footer.. je unapoondoa madhara yake ni nini?