I wish you knew me kuna member humu wananifaham am not of that type. Pili baba yetu alishaaga dunia kaka kachukua majukum ya kunisomesha. Sikutaka kuliongelea hili maana hafanyi kwasasababu alinisomesha hajawahi kunisimanga hata cku mojaMe nahc huyo bro wako Ni msiri wako Wenda na ww Unaleta vibwana vyak ndo mana unashndw kumchana Makav kw kuw unahc wend akaharb kw Mumeo. Haiwezkan ww umlete kwk af ushndw kumrekebxh. Wasting our time 4 non sense
Ooooohhh kumbe it's like dady on behalf. .. Daaah OK any way Too Sor if had been harsh you.[emoji120] [emoji120]I wish you knew me kuna member humu wananifaham am not of that type. Pili baba yetu alishaaga dunia kaka kachukua majukum ya kunisomesha. Sikutaka kuliongelea hili maana hafanyi kwasasababu alinisomesha hajawahi kunisimanga hata cku moja
Ila kama kakaangu namweshim sana. Najua hata humu sio wote mna ndugu zenu. Wakubwa huwezi out of nowhere kuanza kufukuza. Ndomaana nimeomba usahauri
Haya maelezo ungetatoa kile mwanzo ungeeleweka mamii, huyo km alikusomesha msubiri mama yako a deal nae basiI wish you knew me kuna member humu wananifaham am not of that type. Pili baba yetu alishaaga dunia kaka kachukua majukum ya kunisomesha. Sikutaka kuliongelea hili maana hafanyi kwasasababu alinisomesha hajawahi kunisimanga hata cku moja
Ila kama kakaangu namweshim sana. Najua hata humu sio wote mna ndugu zenu. Wakubwa huwezi out of nowhere kuanza kufukuza. Ndomaana nimeomba usahauri
Umeona eeeh....!!Haya maelezo ungetatoa kile mwanzo ungeeleweka mamii, huyo km alikusomesha msubiri mama yako a deal nae basi
Yap maelezo ya mwanzo ajiandae kulaumiwa huku ndo kaeleweka vzrUmeona eeeh....!!
Shabiki wa nani? Hapa sasa tumeelewana miaka 35 ana....Mmh jamani bora nibaki shabiki wa nanilii yeye ana nafuu kuliko kuingia MMU na kujionea maajabu. Jibaba miaka 35 bado anategemea pesa za shemeji na dada mtu!!!???
Absolutely kapeaceYap maelezo ya mwanzo ajiandae kulaumiwa huku ndo kaeleweka vzr
Shabiki wa nani? Hapa sasa tumeelewana miaka 35 ana....
Nilishaelewa kule tunachambanaga hadi raha, kasema amemsomesha kwa hiyo bro ni km amechetuka flani iv so ni ngumu kwa yeye kumfaceAah acha hizo unataka mpaka nikuelekeze mlango wa celebrity forums!? Ndio hivyo miaka hiyo haikupaswa aendelee kumlea hapo home.ila its too late kumwambia aondoke. Angeanza tangu mwanzo kaka mtu alipoharibu huko nchi za watuwatu asingemkaribisha kuishi nao hapo.
Na me nlmchokonoa Maksudically ili aseme chanzo cha ugum wa kumchanaNilishaelewa kule tunachambanaga hadi raha, kasema amemsomesha kwa hiyo bro ni km amechetuka flani iv so ni ngumu kwa yeye kumface
Mkuu Hii comment ni ya numbisa si ya mtoa mada, pole lkn kwa kuchanganyaNa me nlmchokonoa Maksudically ili aseme chanzo cha ugum wa kumchana