Msaada juu ya hii pete

Msaada juu ya hii pete

Kupanga Ni Kuchagua!!!
Wakati Unamvalisha Ring
Sema Maneno Haya Ku - Cement Hiyo Ndoa "Hapa Kazi Tu " Baadaye Ikipauka Unamwambia Awamu Ya Tano Hii.
 
Akikutupia usoni shauri yako! Kwani hukuona nzuri zingine? Why buku tatu is it cost cutting ama ni pesa haipo mkuu? Mahari ushapeleka ? Hushindwi kupeleka mbuzi 2 tu wewe😀😀 acha ubahili
 
Akikutupia usoni shauri yako! Kwani hukuona nzuri zingine? Why buku tatu is it cost cutting ama ni pesa haipo mkuu? Mahari ushapeleka ? Hushindwi kupeleka mbuzi 2 tu wewe acha ubahili
Sema huwa naona hizi pete ni trend tu na aliyesema tufanye hivyo alituokota sana... Wengine tulioa, kwa taratibu sahihi, na pete hatukuvaa.. na tuko kwenye ndoa kila mtu ana amani... Na hatuoni aibu kusema tunawenzi pale watu wanapotuma maombi...

Wewe lipa mahali, ukikosa nenda kwa wazazi waambieni nia yenu njema .. timeni ujumbe kwa marafiki kuwajulisha mmeamua kuishi pamoja.. 🙂 watumie picha ya mkeo kwa ndugu zako wa muhimu na yeye vivyo hivyo..

Kisha muambatane mkaaijaze dunia.. mpendane .. kwenye hili kila mtu anakuwa na adabu maana anytime huwa inaweza kutenguka 😉)))
 
Mimi nikiona mtu ana mkono laini kama huo huwa nawaza mbali sana
Wengine maumbile tu na wengine mazingira wewe unasoma tuu mkono unakakamaa lini... japo Kwa jamii za wafugaji ni kawaida.. Wamasai, watusi... Jembe hawashiki

Na kiafya hakuna uhusiano wa kuwa strong na kuwa na mikono migumu. Infact nadhani kwa mtu anayejali mwili wake its good to keep it well moisturized.. and soft uendelee kubwa active kama ulivyokuwa mtoto.. ndio unakakamaa tuuu 🙂
 
Acha urofa gold gram moja ni 80k wewe hiyo pete ya dhahabu ipi?
 
Back
Top Bottom