Nimeitwa kwa ajili ya usaili RUWASA kama mhasibu, naombeni msaada juu ya haya baadhi ya mambo

Rangooo

Senior Member
Feb 12, 2022
196
322
Habari zenu wakuu,

Nmepata nafasi ya kufanya usaili kama mhasibu wa chombo ruwasa kwa wale wazoefu au wanaofahamu chochote juu ya sahili hizi naomba sana msaada wenu juu ya haya yafuatayo:

1. Kuanzia kwenye tangazo la kazi mpka kuitwa katika usahili huu lugha pekee waliyotumia ni ya kiswahili, je na maswali ya usahili yatahitaji pia lugha hyo au inabidi kitumike kingereza?

2. Je usahili ni wa kufanya mtihani au ni maswali ya oral?

3. Kwa anayefaham au mwenye uzoefu ni maswali ya aina gani kwa mwenye fani ya Uhasibu huulizwa?

4. Nijiandae na changamoto za aina gani kwa ajili ya usahili huu.

Na kama kuna yoyote yule aliyepata nafasi ya kuitwa katika usahili huu wa tarehe 25 wilaya ya lushoto mkoa wa Tanga naomba tutambuane.

Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom