khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,147
- 1,075
Coordinates well recognized
We need to fall back
We need a backup
I repeat we need a backup


Coordinates well recognized
We need to fall back
We need a backup
I repeat we need a backup


Umesema ni GOLD na Umenunua kwa ELFU3? Au mimi sijaelewa vizuri?Katika zunguka zunguka zangu leo nmepata ringnzuri kwa bei poa kabisa ya Tshs 3,000/= ni gold kwa ajili ya engagement jamaa amesema kama itakua mbaya nirudshe anibadilishie. Wakuu nyie mnaonaje shape ake ilivokaa ipoje?View attachment 1689902
Start shooting...Man down
I repeat man down
Kwani familia inatunzwa na Pete ?Mkuu pete ya elfu tatu kweli mkuu? Je utaweza kutunza familia kweli mkuu? je Mahari umelipa kiasi gani aisee?
Roger that...keep going and start shooting.Abort mission
Do you copy?
Over?
Mbona mtu akipeleka mbuzi mwanaume watu wanavuta na wanaofree tu na wanazo pesa .Huyu ni kidume anayefata utaratibu ingawa hana pesa nyingi au bahiri.Watu wamoumu na hawajawai valisha wake zao Pete ata za buku.Akikutupia usoni shauri yako! Kwani hukuona nzuri zingine? Why buku tatu is it cost cutting ama ni pesa haipo mkuu? Mahari ushapeleka ? Hushindwi kupeleka mbuzi 2 tu weweacha ubahili