msaada jinsi ya kuweke picha.natumia Lg e 400

msaada jinsi ya kuweke picha.natumia Lg e 400

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
wakuu heshima yenu.
napenda sana picha na hakuna siku sipiti jukwaa la picha ila sijawahi kuweka picha hata moja.
hii simu yangu inaweza kutuma picha kwenda support@jamii forum ila sasa najiuliza unafungua kwanza uzi ndio utume au natuma alafu ndio nifungue.na je nitajuaje kama mods wamepata picha yangu.
embu nisaidieni
 
Siyo peke yako, wako wengi lakini wanashindwa kufunguka.mjuao toeni msaada.
 
mimi niliweka kwa kutumia pc kwa simu sijajua
 
hata mimi nashindwa ku attach picha kwa bb mwenye kujua anielekeze
 
Kwa simu haiwezekani ila kwa Computer Kama walivyoeleza kwenye Sticky JF MOBILE USERS hapo juu usome. Labda wafanye update ili simu ziweze kuattach picha.
 
Back
Top Bottom