Sasa angemwambia unadhani angekubali kuolewa?Huyu mwanaume angemwambia huyo dada kabla ajue what to expect….. hivi hivi inashangaza atii
Ndoa ya kikristu ni balaa wakifuata utaratibu awatafute watu wote waliohudhuria siku ya ndoa wote waje kama walivyokuwa wamevaa kama walikuwa wajawazito waje na mimba zao.
Nakazia. Kama hawakushiriki tendo la ndoa tangu wafunge ndoa hiyo ndoa ni batili. Haitambuliki duniani wala mbinguni. Ni sheria ya kanisa hiyo na itavunjwa mara moja.Asante ndugu kwa ushauri tafanya hivyo maana ni mdogo wangu kabisa
Mkuu, nikupe tu ushauri kwamba wakati mwingine ni busara kunyamaza kimya kuliko ku-comment jambo ambalo huna hakika nalo halafu ukampotosha mtoa mada.Walifunga ndoa kanisani? Aende kwa mchungaji atoe lalamiko lake,ndoa inavunjwa fasta ,kama kweli jamaa jogoo hawiki, bila jogoo kuwika hakuna ndoa hapo
Wazo la kipuuzi kutoka kwa mpuuziWazo zuri
Hembu subiri kidogo... hayo maelezo yako yote, what a difference does it make kama mchana ndoa ilishafungwa?Mkuu, nikupe tu ushauri kwamba wakati mwingine ni busara kunyamaza kimya kuliko ku-comment jambo ambalo huna hakika nalo halafu ukampotosha mtoa mada.
Kanisa halivunji ndoa ya Kikristo hata siku moja. Kinachofanyika ni kwamba ukitokea mgogoro kati ya wanandoa, jukumu la Kanisa ni kuwasuluhisha tu wanandoa hao, lakini likishindwa kuwasuluhisha litaandika Hati ambayo mwanandoa anayetaka kuachana na mwenza wake ataiambatanisha hati hiyo kwenye maombi maaalumu ya kuiomba Mahakama iwaachanishe wanandoa hao.
Lakini ili Mahakama iwaachanishe wanandoa ni lazima sababu iwe moja kati ya zifuatazo; vipigo vilivyokithiri, mwanandoa mmoja kukamatwa ugoni kwa zaidi ya mara 2, mwanandoa mmoja kubadilisha dini (kwa mfano mfunge ndoa ya Kikristo halafu mwanandoa mmoja awe muislamu), mwanandoa mmoja kuwa kichaa au kufungwa jela kwa zaidi ya miaka 5 n.k.
Kukosa uwezo wa kufanya mapenzi siyo sababu.
ILA, Sheria inawataka wanandoa kuhakikisha WANAJAMIIANA ule usiku wa ndoa yao isipokuwa kama kuna changamoto labda mwanamke yuko period au matatizo mengine ya kiafya. Lakini kama wote mko sawa halafu msiposhiriki tendo usiku wa ndoa yenu basi ndoa hiyo itahesabika kwamba ni batili.
Kama huyo mwanaume hana nguvu za kiume, its obvious kwamba hawakushiriki tendo usiku wa ndoa yao and therefore the institution of marriage is invalid in the eyes of law.
Mwambie anitafute mimi au akamuone Wakili amsaidie ili Mahakama iwatenganishe kwa kigezo cha kutojamiiana usiku wa ndoa yao.
Nawasilisha.
Consummation means the completion of a thing. Some common uses of the term “consummation” in a legal sense include:Hembu subiri kidogo... hayo maelezo yako yote, what a difference does it make kama mchana ndoa ilishafungwa?
Kwahio mshafunga ndoa mchana, usiku mkajaribu kushiriki mmojawa wapo akawa na tatizo(la kudumu) kutoshiriki tendo ndoa itavunjwa asubuhi?
Mi nataka nijue lengo la kusema mfanye mapenzi usiku wa ndoa, ina haja gani ikiwa mshapigwa kitanzi?,
Kukosa uwezo wa kufanya mapenzi siyo sababu.
failure to consummate a marriage is a ground for divorce or an annulment.
Nadhani nimekujibu, unless kama hujui Kingereza.
Lengo la ndoa siyo kuachana na ndoa misingi yake ni kuishi kwenye shida na raha.Ndoa ya kikristu ni balaa wakifuata utaratibu awatafute watu wote waliohudhuria siku ya ndoa wote waje kama walivyokuwa wamevaa kama walikuwa wajawazito waje na mimba zao.
Nilipokuwa naanza kubalehe, nilifikiri wanaume ndiyo tunahitaji sana kujamiana kuliko wanawake. Nilipokuwa mtu mzima, ndiyo nikapata jibu kuwa kujamiana ni kwa ajili ya wanawake tu.Aende mahakamani
Wewe acha utani na dini yetu! Unadhani dini ni ngoma ya mdundiko kila anajisikia kucheza anacheza tu?Mwambie asilimu kwanza atumie kigezo cha kusilimu kumuacha.
Inaumiza sana ila ndo ivoNilipokuwa naanza kubalehe, nilifikiri wanaume ndiyo tunahitaji sana kujamiana kuliko wanawake. Nilipokuwa mtu mzima, ndiyo nikapata jibu kuwa kujamiana ni kwa ajili ya wanawake tu.
Katika mambo ambayo mwanamke hawezi kukuvumilia ni kwenye jambo la kupiga paipu. Anaweza kukuvumilia ukiwa hauna hela ila siyo kupiga paipu.
Yameshawahi kunikuta na pia najua machungu yake. Huyo jamaa nampa pole sana, anapitia wakati mgumu sana.
Ndoa walifungia kanisani?Habari ndugu zangu, naishi Kigoma, nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hivi toka wameona mwanaume hajawahi kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa.
Wameishi miezi 3, hali hiyo imefanya binti arudi kwao. Kwa sasa anamiezi 2 na amepata mchumba mwingine, je, anawezaje kuvunja ndoa?
Naomba ushauri wapendwa.
Naona umekosa kuilezea point muhimu sana nayo ni nini ndoa? Je ndoa bila ya kujamiana hata mara moja toka kuoana hiyo ni ndoa?Lengo la ndoa siyo kuachana na ndoa misingi yake ni kuishi kwenye shida na raha.
Ndoa ya kikristo siyo balaa ila nyie mnaoingia kwenye ndoa ni balaa.
Unapofunga ndoa, unatakiwa uwe na akili timamu na uwe umedhihirisha.
NDOA SIYO UWANJA WA MAJARIBIO AU SEHEMU YA KIJIFUNZIA.
Kiapo cha ndoa kinasema kwa raha na shida?hakuma kutenganisha labda kifo,sasa wewe hicho kipengera chako umekitoa wapi?Walifunga ndoa kanisani? Aende kwa mchungaji atoe lalamiko lake,ndoa inavunjwa fasta ,kama kweli jamaa jogoo hawiki, bila jogoo kuwika hakuna ndoa hapo
Ndoa maana yake ni kuishi kwenye shida na raha. Inapotokea mpo kwenye shida ni muhimu kutatua na siyo kukimbilia kuachana. Tatizo siyo kujamiana, tatizo, je kama mke amechukua hatua gani ya kumsaidia mumewe awe katika hali nzuri?Naona umekosa kuilezea point muhimu sana nayo ni nini ndoa? Je ndoa bila ya kujamiana hata mara moja toka kuoana hiyo ni ndoa?
Ndo ukweli wenyewe alichokiunganisha Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha kama kuna wazee walihudhuria na wao uwatafute wakiwa na umri uleule na nguo zilezile za siku ya harusi yako. Ndoa ya kikristo ni kisanga mpaka mmoja afeUrongo ulio tukuka