MSAADA JINSI Ya KUTAMBUA GRADE YA GARI NNAYOTAKA KUNUNUA

ChaterMaster

JF-Expert Member
Aug 17, 2009
1,622
791
Wakuu nawasalim
naomba kujuzwa jinsi ya kutambua grade ya gari nnayotaka kununua either ni 1,2, 3 au 4
nipo kwenye mtandao wa tradecarview naomba kujua ni sehemu gani naclick ili niweze kuiona
thax
 
Wakuu nawasalim
naomba kujuzwa jinsi ya kutambua grade ya gari nnayotaka kununua either ni 1,2, 3 au 4
nipo kwenye mtandao wa tradecarview naomba kujua ni sehemu gani naclick ili niweze kuiona
thax

Funguka zaidi tukusaidie sema nataka Gari fulani la mwaka fulani lenye mileage fulani,engine fulani
Ili tukupe msaada maana kama sijaelewa swali

Inabidi kukumbuka kuwa all cars aged >10 yrs ni chakavu hivo ushuru utahusika nwingi zaidi
 
Back
Top Bottom