Msaada: Jinsi ya kupata mchumba police

Msaada: Jinsi ya kupata mchumba police

Kwema humu Jf,

Mimi ni wa kiume miaka 27 nataka kuwa na mchumba police ila nadhindwa kabisa kuwatongoza japo huwa nawatamani sana maana najuwa mambo yangu mengine yatapata solution.

Sasa nilikuwa naomba ni njia gani za kumtongoza police wa kike hadi akukubali uwe wake maana kuna mmoja nilimtongoza huwa namkuta barabarani akaniambia haiwezekani baada ya kumganda sana akasema ataniweka Central Police kama siku tatu hivi ili niache kumfuatilia.

Sasa nilikuwa naomba njia za kumtongoza hadi akubali kirahisi

Lissa umeshindwa? una project nyingi sana, hutofanikiwa. zingatia masomo yako ya kidato cha nne
 
Kwema humu Jf,

Mimi ni wa kiume miaka 27 nataka kuwa na mchumba police ila nadhindwa kabisa kuwatongoza japo huwa nawatamani sana maana najuwa mambo yangu mengine yatapata solution.

Sasa nilikuwa naomba ni njia gani za kumtongoza police wa kike hadi akukubali uwe wake maana kuna mmoja nilimtongoza huwa namkuta barabarani akaniambia haiwezekani baada ya kumganda sana akasema ataniweka Central Police kama siku tatu hivi ili niache kumfuatilia.

Sasa nilikuwa naomba njia za kumtongoza hadi akubali kirahisi

Kuoa polisi haina tofauti nakuoa wa jeshi la ulinzi. Bosi wake ni mwajiri wake ambako hawezi hata kugeuza shingo upande.

Ukiwa unaonekana upo mtulivu na umeshehemi kwa mengi huhitaji kuomba namba yake ya simu, yeye mwenyewe atajirahizisha kukupa. Mbona mimi inimepewa namba zao na askari wa kike kadhaa bila kuomba wala kuwa na malengo yo yote ila wanajirahizisha tu? Kama u mwepesi hutawafikia.
 
Tafuta raia, ukimpata mshonee uniform za polisi awe anavaa home badala ya kanga.
 
Sasa walinzi wawapeleka wapi ? ujinga huo kuna kada kibao zinawatoto ng'ari ng'ari hawana nights shift wala nini
 
Hayo mambo yako unayotaka yanyooke ni yepi??? Tusije kukushauri kumbe ni jambazi baadae uturudishie taabu bureeee
 
Back
Top Bottom