msaada; jinsi ya kupanga page za kitabu/manual | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada; jinsi ya kupanga page za kitabu/manual

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tindikalikali, Jul 23, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wakuu natanguliza shukrani kwanza...

  Katika jitihada za ujasiriamali nimeweza kutengeneza manual kwa ajiri ya wanafunzi wa college. Tatizo limekuja kwenye kuset page kisha kuprint.

  Nataka page mbili tofauti zikae kwenye A4 i.e page ya 1 ikae na page ya 80, ya 2 na 79 na kuendelea na kisha nizikunje....

  Nimeona wengi wakifanya hivyo kwenye machapisho yao, ila sijajua utaalamu wanaotumia..

  Kama kuna mwenye ufahamu na hili au kuna software inayotumika naomba mnijuze

  asanteni
   
 2. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  MMMMHHHH!!!!!! Mie natumia Adobe InDesign CS5 katika kudesign kitabu au kijarida. Ni software inayopanga vizuri pages za kitabu chako na baadaye kui-save kama PDF na kumpelekea printer.
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  inauzwa bei gani?
   
Loading...