Msaada: Jinsi ya Kumaster Manual Car!

Nilijifunzia manual kipindi hicho automatic Ni za kuhesabika.

Manual is more funnier than the automatic transmission.

Wakati wakujifunza manual utaunguza clutch, hili Ni kawaida kwa waliowengi hivyo jiandae kwa Hilo. Kikubwa uwe unaachia clutch taraaaaatibu esp ukiwa unaingiza gear moja na mbili huku unapress accelerator taraaaaatibu, zinaenda kwa kupishana.
 
Kama unaweza kuendesha Automatic basi kwenye manual nenda kwenye miinuko sehemu ambapo ukiachia brake gari inarudi nyuma.Hapo jifunze kubalance brake,MOTO na clutch.
Usilazimishe kukalili jinsi ya kuondoka,KIKUBWA ISIKILIZE GARI INATAKA GEAR NO NGAPI.
Utazoea tu muda sio mrefu hata mlimani unasimama kwa kutumia clutch na moto bila brake.
Unasimama kwa kutumia clutch na moto? Unaelewa madhara ya hiki kitendo na kutembelea clutch?
 
Akibisha atakuwa haelewi uhusiano kati ya engine, transmission, clutch na drivetrain. Hili ni jambo la msingi sana ili kuweza kumaster manual transmission.
Nabisha kwa fact nilizonazo sio kubisha tu,Nimeendesha gari toka mwaka 2004 mpk leo bado ninaendesha.Sijawahi kuchoma clutch hata mara moja.Na mara zote nasimama kwa clutch na moto.Nilishatembea na gari imekufa gear no 1,2 zinazokubali ni 3,4,5,R nilitoka TARIME mpk Mwanza.SEMENI TUWAPE MAUJUZI ACHENI KUPINGA KILA KITU.
 
Tarime mpaka mwanza hakuna miinuko inayokulazimu kutemebea na namba 1 au 2 pia hauna foleni vinginevyo usingefika. hivyo huo sio utaalamu ni barabara ilikupa favor.
 
Tarime mpaka mwanza hakuna miinuko inayokulazimu kutemebea na namba 1 au 2 pia hauna foleni vinginevyo usingefika. hivyo huo sio utaalamu ni barabara ilikupa favor.
Eti tarime hakuna milima naona wewe ni wa dsm sio Kanda ya ziwa.Mtafute dereva anayeijua barabara ya tarime to mza.
 
Akibisha atakuwa haelewi uhusiano kati ya engine, transmission, clutch na drivetrain. Hili ni jambo la msingi sana ili kuweza kumaster manual transmission.
Kwa maelezo yako unaonekana kabisa driving yako umepatia kwenye vyuo........NJOO UPATE DRIVING SKILLS YA KITAA,HUKO MNAKALILISHA MAJINA YA SPEAR TU ILA UJUZI HAKUNA.KILA KITU MMEKALILI.
 
Acha uongo wewe. vipo vimilima abmavyo vinakuwezesha kupanda na namba 3. pia barabara ni lami.

FYI
mimi sio wa Dar.
ACHANA NA UBISHI WA BARABARANI LETE SKILLS ZA KUENDESHA GARI MANUAL.TATIZO V..A INAWAKALIKISHA,HAMJUI LOLOTE.SAFARI NDEFU ULIYOWAHI KUTEMBEA NI KM 200 EXPERIENCE UTAIPATA WAPI?
 
Back
Top Bottom