mtoto1980
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 534
- 517
Bwana mdogo ukianza sifa za kumiliki vitu na kujitapa huo ni udada tena ni udem.Sina haja ya kukwambia mali na vitu ninavyomiliki kwa sababu havikuhusu na JF sio mahala pake.Ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Hizo KM ulizitaja ndio umbali ninaokwenda kunywa bia kila weekend achilia mbali KM 100 za kila siku mara 3 au 4 kwa wiki.
Experience niliyonayo ni ya kimataifa sio ya Mwanza Tarime. na huwa napenda kujiwekea record na kuzivunja mwenyewe.
Kwa taarifa yako, mimi sio dereva wa kuendesha magari ya watu kama wewe. naendsha gari yangu binafsi hivyo lazima nifuate ushauri wa wataalaamu ukuizingatia kwamba spea zake ni ghari sana kwahiyo nikiambiwa haitakiwi kusimama kwenye mpando kwa kutumila clutch na accelerator lazima nizingatie.
LETE SKILLS ZA KUENDESHA GARI MANUAL MASWALA YA MALI NA MAGARI YAKO MPELEKEE MKEO.