Msaada jinsi ya kufika Namabengo High School - Ruvuma

Msaada jinsi ya kufika Namabengo High School - Ruvuma

Magita

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
319
Reaction score
144
Wana jamii forum naombeni kuuliza mwanangu amechaguliwa 2nd selection Shule ya Namabengo High School, ipo ktk Wilaya ya Namtumbo - Ruvuma, Swali langu ili afike huko shuleni akitokea Dar es salaam apande mabasi yapi?
 
mkuu magita hongera kwa mtoto kufaulu haya ngoja nikuambie hapo ubungo kuna mabasi ya kampuni ya SUPERFEO ambayo yanakwenda Songea yanapitia morogoro to iringa then songea pia wanabus zinaanzia hapo ubungo wanapitia mkuranga to lindi to masasi to tunduru NAKUSHAURI mtoto wako apitie njia ya lindi ambayo atakwenda kushuka moja kwa moja shuleni lakini akipitia hii ya morogoro itabidi ashuke songea halafu siku ya pili ndipo apande gari za kuelekea Namabengo
 
Ahsante sana kaka kwa kunijulisha hivyo, basi sawa nitafanya hivyo.
Ubarikiwe sana
 
mkuu magita hongera kwa mtoto kufaulu haya ngoja nikuambie hapo ubungo kuna mabasi ya kampuni ya SUPERFEO ambayo yanakwenda Songea yanapitia morogoro to iringa then songea pia wanabus zinaanzia hapo ubungo wanapitia mkuranga to lindi to masasi to tunduru NAKUSHAURI mtoto wako apitie njia ya lindi ambayo atakwenda kushuka moja kwa moja shuleni lakini akipitia hii ya morogoro itabidi ashuke songea halafu siku ya pili ndipo apande gari za kuelekea Namabengo
Na shule ipo km chache kutoka Songea mjini,ni shule nzuri nilifundisha 2012.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So? the thread closed!
Acha kiherehere, kwanza mimi nimefurahi kufahamishwa hiyo route mpya ya Lindi.

Kwa hiyo let this thread trend because it cost you no penny
 
Ungemuuliza pia huyo mwanao je alivyosoma jiografia kwenda SONGEA anatakiwa apite wapi?
 
Ungemuuliza pia huyo mwanao je alivyosoma jiografia kwenda SONGEA anatakiwa apite wapi?
Sawa ni swali zuri lakini haliendani mantiki ya mtoa mada.
Halafu jiografia ya sehemu flani sio lazima ilandane na route ya kupafikia mahali husika.
Mintarafu, pangekuwa na barabara ya moja kwa moja ikatizayo mkoa wa pwani, ulanga kisha unakatizia mbuga ya serous mpaka mbinga kila msafiri angeopt kupitia route hii make ni rahisi na haraka kufika.
NB vitu vingine havitakagi ujuaji...
 
Acha kiherehere, kwanza mimi nimefurahi kufahamishwa hiyo route mpya ya Lindi.

Kwa hiyo let this thread trend because it cost you no penny

Hakukua na haja ya comment ya aina hii..
 
Anaenda kuhudhuria classes au kusoma...!??

Mtafutie private tu
 
karibu songea mtoto wa magita. the land of makaba
 
Back
Top Bottom