Martin Kemosabe
Senior Member
- Jan 28, 2020
- 168
- 78
Kuna series nazitafuta mfano kama Asintado Pusong Ligaw na nyingine nyingine nyingi tu za kifilipino.
Nimezunguka huko kutafuta jinsi ya kuzidownload naona chenga tu sielewi kitu naomba mwenye uzoefu na kujua namna ya kufanya ili niweze fanikisha hili USER=403420]Numbisa[/USER] naomba upite hapa dada angu kama una idea yeyote.
Msaada wenu wana zengo nimekwama.