MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,466
- 14,887
Maybe.. .. Maybe yes maybe notDuuh kumbe AEA hawamo!, ila hata kama cheap labor ila kibongo bongo ukishavuka maji kuna satisfaction flani utakua umeipata
Jua kule wanajitegemea kila kitu
Maybe.. .. Maybe yes maybe notDuuh kumbe AEA hawamo!, ila hata kama cheap labor ila kibongo bongo ukishavuka maji kuna satisfaction flani utakua umeipata
Duh ngoja tujaribu.wachache sana ndugu wewe nenda kajaribu uone subiri wafungue uende kwenye faculty yako kwa dean of student umuembie aanze kukupa process zake