Msaada jinsi ya kubadili course SUA

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
1,980
Points
2,000

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2019
1,980 2,000
Unampoteza mwenzio. Hizo kozi ulizomwandika akimaliza unakata akafanyaje! acha kumpotosha mwenzako. Hizo point zake zinatosha kabisa kwa BVM. Pia heri mara 100 akasoma BLS kuliko huo utumbo wa kilimo.
Hyo Bitechnology na laboratory science mnayomdanganya ndo amepotea kabisaaa...

Njoo na data kusapoti hio kozi yako acheni kumpoteza mtu
Dogo unaeomba ushauri Kama unasoma hapa hii sio ile lab ya afya ya binadamu in short sio kozi ya afya kama umejihaminisha hivyo

Yani mpaka sasa ujui hzo kozi mtu anasoma awe Nani?

Na cha kuongezea tu nikwamba hizo kozi zina soko la ajira na unaweza jiajiri most nlizozitaja

Na nikwambie tu ndio kilimo kinalipa wengi tulio graduate nao waliosoma hzo kozi
-maafisa kilimo
-afisa misitu
Wapo vzur

Halafu Nani kakwambia bvm wanachukua hzo point zake labda ulisoma bvm ya enzi hzo

Embu jaribu kuuliza wadogo zako au ndugu na jamaa uliowaacha hapo chuo point zake wakwambie
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
3,002
Points
2,000

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2017
3,002 2,000
Nimechaguliwa BCS. OF EDUCATION SUA NINA TWO YA 11 NIMESOMA PCB YAANI NIMEPATA CHEM C BIOS C NA PHY E NILIKUWA NAULIZA JE NA WEZA BADILISHA COURSE NA NIENDE BVM?? NA KAMA NA WEZA NJIA ZIPI NIZIFANYE ZA HARAKA KWA MUDA HUU MAANA NIMECHAGURIWA PIA DIPLOMA YA CLINICAL MEDICINE ASANTE SANAA
Clinical Medicine chuo cha serikali au binafsi..?
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
3,002
Points
2,000

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2017
3,002 2,000
Unampoteza mwenzio. Hizo kozi ulizomwandika akimaliza unakata akafanyaje! acha kumpotosha mwenzako. Hizo point zake zinatosha kabisa kwa BVM. Pia heri mara 100 akasoma BLS kuliko huo utumbo wa kilimo.
Mkuu, kozi za kilimo unasema utumbo...!!!
"Innalilah wainnalilah rajiun"
 
fredy18

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Messages
451
Points
500

fredy18

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2018
451 500
Hyo Bitechnology na laboratory science mnayomdanganya ndo amepotea kabisaaa...

Njoo na data kusapoti hio kozi yako acheni kumpoteza mtu
Dogo unaeomba ushauri Kama unasoma hapa hii sio ile lab ya afya ya binadamu in short sio kozi ya afya kama umejihaminisha hivyo

Yani mpaka sasa ujui hzo kozi mtu anasoma awe Nani?

Na cha kuongezea tu nikwamba hizo kozi zina soko la ajira na unaweza jiajiri most nlizozitaja

Na nikwambie tu ndio kilimo kinalipa wengi tulio graduate nao waliosoma hzo kozi
-maafisa kilimo
-afisa misitu
Wapo vzur

Halafu Nani kakwambia bvm wanachukua hzo point zake labda ulisoma bvm ya enzi hzo

Embu jaribu kuuliza wadogo zako au ndugu na jamaa uliowaacha hapo chuo point zake wakwambie
Nna mshikaji mwaka wa 3 yy na demu wake ni graduates wa SUA kilimo wapo kitaa
 
wise boi

Senior Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
132
Points
250

wise boi

Senior Member
Joined Aug 9, 2017
132 250
Hyo Bitechnology na laboratory science mnayomdanganya ndo amepotea kabisaaa...

Njoo na data kusapoti hio kozi yako acheni kumpoteza mtu
Dogo unaeomba ushauri Kama unasoma hapa hii sio ile lab ya afya ya binadamu in short sio kozi ya afya kama umejihaminisha hivyo

Yani mpaka sasa ujui hzo kozi mtu anasoma awe Nani?

Na cha kuongezea tu nikwamba hizo kozi zina soko la ajira na unaweza jiajiri most nlizozitaja

Na nikwambie tu ndio kilimo kinalipa wengi tulio graduate nao waliosoma hzo kozi
-maafisa kilimo
-afisa misitu
Wapo vzur

Halafu Nani kakwambia bvm wanachukua hzo point zake labda ulisoma bvm ya enzi hzo

Embu jaribu kuuliza wadogo zako au ndugu na jamaa uliowaacha hapo chuo point zake wakwambie
Watakupinga ila huu ndo ukwel mchungu
 
Waterbender

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Messages
366
Points
225

Waterbender

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2018
366 225
Vp
BVM nikwambie ukwel utasumbuka kuandika barua utasubir majibu bure ila huwez kwenda na hzo point zako utajikuta umepoteza muda bure nenda kozi hizi

Bsc animal science
Bsc Agriculture general
Bsc Forestry
Bsc Horticulture

Au hyo education uliochaguliwa ipo campus ya mazimu SMC kuondoa gharama ya muda na usafir

Nenda

Bsc Environmental science
Ipo hapo mazimbu ambapo kozi yako ipo

Usiupuuze ushaur wa mlevi we ujiulizi kwa nini sijaitaja Laboratory bitechnology (BLS)
Na hizo walizokutajia tofaut na nilizotaja Mimi?

Nlikuwa hapo kitambo kidogo.. Naelewa
kwa FST?
 
MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
1,980
Points
2,000

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2019
1,980 2,000
Zote ni nzuri mkuu, inategemea na na interests zako kuamua ipi kuwa nzuri zaidi. Kiujumla kozi nyingi za SUA ni best, pia kuna best instructors so wanaweza kukusaidia zaidi juu ya unachosoma hasa ukiwa chuo.
We mtu mzito forester mwambie tu Hali halisi kuhusu hio kozi hao wanaopatikana college of biomedical science ajira bongo changamoto hata field zao halafu uwez jiajiri ukilinganisha na fst

Bls ni nzur tena sanaa huko mambele sio nchini kwetu
 
Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Messages
4,164
Points
2,000

Blank page

JF-Expert Member
Joined May 28, 2015
4,164 2,000
We mtu mzito forester mwambie tu Hali halisi kuhusu hio kozi hao wanaopatikana college of biomedical science ajira bongo changamoto hata field zao halafu uwez jiajiri ukilinganisha na fst

Bls ni nzur tena sanaa huko mambele sio nchini kwetu
Ulichokisema mkuu kinaweza kuwa kweli. BLS washawahi kulalamika kuwa hawana Wizara maalum inayowaajiri hiyo ni changamoto Kubwa sana kwao.
FST sio mbaya sana kwasabu wanaajiriwa sehemu kibao za viwanda kama vya vyakula na vinywaji. Pia TFDA ambayo itaingia ndani ya TBS.
 
Forum statistics

Threads 1,343,415
Members 515,055
Posts 32,784,013
Top