Unaijua BVM? au unataka nini huko?
Wakati naingia BVM 2009 kilichokuwa kinazingatiwa ni ufaulu, lakini pia idadi ya wanafunzi wa BVM iko limited.
Kwa hiyo kama uliichagua lakini hujapelekwa huko utakuwa umeelewa. Uko na point 11 za PCB, kuna wenzako wanaingia huko vet wakiwa na 5,6,7 & 9.
Anyways, kama muda wa kubadili bado upo, andika tu barua peleka ofisi za admissions hapo main campus, au nenda kwanza uwaone wakwambie cha kufanya.
NB; Hiyo education ni rahisi kujiajiri kuliko BVM. kila la heri
~Jodeo~