Msaada jinsi ya kubadili course SUA

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Nimechaguliwa BCS of education SUA nina two ya 11 nimesoma PCB yaani nimepata Chem C Bios C na Phy E nilikuwa nauliza je na weza badilisha course na niende BVM?

Na kama naweza ni njia zipi nizifanye za haraka kwa muda huu maana nimechaguliwa pia Diploma ya Clinical Medicine asante sana
 
Hiyo ni mpaka chuo kifungue na ukamilishe usajili. Kwahiyo kwasaaa bado ni mapema sana.
vigezo utakutana navyo chuoni SUA.
 
Haya kiongoz nilizania labla kama na weza mtafuta lecture hv
Alichokushauri ndio sahihi, utafute lecturer wa nini tena. Ukifika chuoni na kuwa registered utafanya hivyo baada ya kupewa taratibu zote maadam unakidhi vigezo vya kusoma BVM.
 
Mkuu BVM Kwa huo ufaulu wako hutapata maana wanachukua mwisho 1 ya 9 mara chache sana kukuta 2 tena za 10, cha msingi nenda kasome hiyo diploma tu au kasome ualimu
 
Ukifika chuo inawezekana kama kuna nafas kozi hyo plus ikizi vigezo. Kwa sua n jambo la kawaida kubadili kozi japo s wote wanofanikiwa
 
Nimechaguliwa BCS. OF EDUCATION SUA NINA TWO YA 11 NIMESOMA PCB YAANI NIMEPATA CHEM C BIOS C NA PHY E NILIKUWA NAULIZA JE NA WEZA BADILISHA COURSE NA NIENDE BVM?? NA KAMA NA WEZA NJIA ZIPI NIZIFANYE ZA HARAKA KWA MUDA HUU MAANA NIMECHAGURIWA PIA DIPLOMA YA CLINICAL MEDICINE ASANTE SANAA
duh! kuna watu wana wito kwelikweli na ualimu. PCB point 11 unaomba Education!!!! huo ni wito uliopitiliza. Kwanini usingeomba Bachelor of Laboratory Health Sciences au Nursing. ok. kila kheri katika ualimu wako. BUT kwa ushauri SUA wakifungua ni bora ukasome Bachelor of Laboratory Science au BVM
 
Jomba nimeomba hio awamu zote 2 kilicho nikuta ni mwendo wa chagaa awamu ya mwisho nikaaplly edu nikapewa yaan acha tu na nimesha kaa mtaan mwaka tayar
 
BVM nikwambie ukwel utasumbuka kuandika barua utasubir majibu bure ila huwez kwenda na hzo point zako utajikuta umepoteza muda bure nenda kozi hizi

Bsc animal science
Bsc Agriculture general
Bsc Forestry
Bsc Horticulture

Au hyo education uliochaguliwa ipo campus ya mazimu SMC kuondoa gharama ya muda na usafir

Nenda

Bsc Environmental science
Ipo hapo mazimbu ambapo kozi yako ipo

Usiupuuze ushaur wa mlevi we ujiulizi kwa nini sijaitaja Laboratory bitechnology (BLS)
Na hizo walizokutajia tofaut na nilizotaja Mimi?

Nlikuwa hapo kitambo kidogo.. Naelewa
 
Asante kiongoz

Unampoteza mwenzio. Hizo kozi ulizomwandika akimaliza unakata akafanyaje! acha kumpotosha mwenzako. Hizo point zake zinatosha kabisa kwa BVM. Pia heri mara 100 akasoma BLS kuliko huo utumbo wa kilimo.
 
Back
Top Bottom