Habari wakubwa kwa wadogo.
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka 2021 na alipata division two ya point 18 nikataka aende kusoma course ya afya (clinical medicine) (CO) Ila selection zimetoka juz kapangiwa course ya nursing na hicho chuo kina course moja tuu ya nursing nahitaji msada namna ya kubadili chuo na course piah
Nawasilisha