Msaada jinsi ya kuagiza simu za Tecno na Itel kwa bei ya kiwandani

Vipi bei ya Arusha mkuu hasa memorycards 128mb
 
Boss wa simu k'koo ni Erasto, ukipata mtu anaeaminika akakupeleka kwake, unapewa mzigo hata wa mali kauli. Jamaa ni agent. Maduka mengi ya jumla k'koo wanachukua simu kwake,
 
Mkuu type mrejesho
 
Boss wa simu k'koo ni Erasto, ukipata mtu anaeaminika akakupeleka kwake, unapewa mzigo hata wa mali kauli. Jamaa ni agent. Maduka mengi ya jumla k'koo wanachukua simu kwake,
Ukisema boss wa simu sidhani kama ni sahihi
Erasto ana simu zake hawezi kuwa na kila aina ya simu

Kuna wakati Erasto anaweza asiwe na mzigo lakini Amadoo na Isack wakawa nazo
Hao wote ni ma argent.
 
Arasto pia anapelekewa mzigo na muhindi anaitwa mzee ibrahim na wachina
Hii inaitwa connection juu ya connection mtoa mada ingia alibaba search hizo simu utapata tuuh main source pia usisahau kuhakiki hicho kiwanda kupitia balobalozi China zilizopo hpa nchin.

Kwa uzoefu wangu simu nying za button hasa techno na itel kiwanda order huanzia PC 3000 n bei yake huwa 7500_9000 kwa moja kma utachukua PC 3000
Ingia alibaba vipo viwanda.
 
Bora uagize China Tu, kama mtaji mdogo unaunganisha na watu baadhi sema inabd utilize kichwa kidog , badae unapiga super profit , faida ya 2000 kwenye simu ni miyeyusho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…