Msaada jinsi ya kuadd au edit transponder kwenye king'amuzi cha zuku


the supporter

the supporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2013
Messages
459
Likes
221
Points
60
the supporter

the supporter

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2013
459 221 60
Mkuu shukrani sana njia yako imenisaidia nimefanikiwa asante sana
Njia hiyo hiyo unaweza kutumia kuscan satellite nyingine yoyote yenye channels zilizopo free na ukazipata vizuri kabisa.
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
2,014
Likes
2,085
Points
280
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
2,014 2,085 280
Njia hiyo hiyo unaweza kutumia kuscan satellite nyingine yoyote yenye channels zilizopo free na ukazipata vizuri kabisa.
Boss nipe msaada nimejaribu kutumia kisimbusi cha azam nimeshindwa
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
2,014
Likes
2,085
Points
280
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
2,014 2,085 280
Mkuu hiyo trick sijawahi ijaribu kwenye Azam labda nikisha jaribu nilete mrejesho hapa
Kisimbusi kipi umeshajaribu kukitumia na kikakubali hiyo trick?
 
Zikwe

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
208
Likes
71
Points
45
Zikwe

Zikwe

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
208 71 45
Nami Nasubili Jibu La Kisimbuzi Kipi Alitumia Akapata Chanel za Free
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
2,014
Likes
2,085
Points
280
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
2,014 2,085 280
..
mantiki ya strong siioni.
ting na continental wako uelekeo wa mashariki kwenye sat ya 75,
Kisimbusi cha zuku ni rafiki, kina blind scan. Cha startimes na azam kwa eneo hili ni majanga
...
Kwa hiyo mkuu nikitaka kupata hizo free channels ni lazima nibadilishe uwelekeo wa kisimbusi cha zuku (kiangalie mashariki)? Na nitumie kisimbuzi gani ili kiwezeshe trick ikamilike?
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
11,287
Likes
10,532
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
11,287 10,532 280
Cha dstv nacho kinakubali mazee au?
 
G

gomer

Senior Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
160
Likes
29
Points
45
G

gomer

Senior Member
Joined Nov 9, 2010
160 29 45
Kwa hiyo mkuu nikitaka kupata hizo free channels ni lazima nibadilishe uwelekeo wa kisimbusi cha zuku (kiangalie mashariki)? Na nitumie kisimbuzi gani ili kiwezeshe trick ikamilike?
...
ndio mashariki.
ting 75°e abs2 11596 H 30000
continental 75°e abs2 11665 H 45000
Bamba 70.5°e 11091 V 15499
visimbusi, karibu vyote
ni wazi kwa muda
...
 

Forum statistics

Threads 1,237,078
Members 475,401
Posts 29,277,500