Msaada jinsi ya kuadd au edit transponder kwenye king'amuzi cha zuku

Nami Nasubili Jibu La Kisimbuzi Kipi Alitumia Akapata Chanel za Free
 
..
mantiki ya strong siioni.
ting na continental wako uelekeo wa mashariki kwenye sat ya 75,
Kisimbusi cha zuku ni rafiki, kina blind scan. Cha startimes na azam kwa eneo hili ni majanga
...
Kwa hiyo mkuu nikitaka kupata hizo free channels ni lazima nibadilishe uwelekeo wa kisimbusi cha zuku (kiangalie mashariki)? Na nitumie kisimbuzi gani ili kiwezeshe trick ikamilike?
 
pleaze anaejua uelekeo wa TING kwa sasa(mwezi huu wa 6) anisaidie kwa sababu king'amuzi changu cha zuku kimepoteza frequence pia frequence zao kwa sasa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom