Msaada jinsi ya ku-unlock LG Golden Premium T.V

Msaada jinsi ya ku-unlock LG Golden Premium T.V

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,752
Reaction score
47,082
Wakuu habarini za Mapumziko,nina T.V yangu ya LG Golden Premium imejiloki yaani siwezi kufanya chochote kile,iwe ni kuongeza sauti wala kubadili channel,kila nikibonyeza Remote au T.V yenyewe inaniambia kuwa CHILD LOCK ON,naombeni msaada wenu Wadau.
 
Pole sana. Kama hauna user manual nakushauri jaribu kusearch mtandaoni. Naamini utapata solution kupitia user manual.
 
Pole sana. Kama hauna user manual nakushauri jaribu kusearch mtandaoni. Naamini utapata solution kupitia user manual.

Dah,mtihani huu Mkuu,hiyo User Manual hata sijui niliitupia wapi,na shida yangu kubwa ni kuongeza sauti tuu basi sababu Channels nitabadilisha kwa kutumia king'amuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom