Jicho la kulia kucheza sio maradhi na kiiamani ina ashiria wewe utasikia au kupatwa na habari ya msiba au kitu cha kukuhuzunisha katika maisha yako.Nimekuwa nikisumbuliwa na kucheza jicho la kulia juu mara kwa mara na nikiulizia naambiwa kiimani ina ashiria jambo je ni jambo lipi linaloweza nipata kutokana na hali niliyoieleza hapo juu mwombeni msaaada wenu memba
Usiwe na hofu kabisa kiimani haitokei maranyingi kiasi hicho... Hiyo kitu ina mahusiano na muscle twitching na kuna visababishi anuwai pata ushauri wa daktari bingwa wa mishipaNimekuwa nikisumbuliwa na kucheza jicho la kulia juu mara kwa mara na nikiulizia naambiwa kiimani ina ashiria jambo je ni jambo lipi linaloweza nipata kutokana na hali niliyoieleza hapo juu mwombeni msaaada wenu memba
Asanteni kwa majibu yenu wana jfUsiwe na hofu kabisa kiimani haitokei maranyingi kiasi hicho... Hiyo kitu ina mahusiano na muscle twitching na kuna visababishi anuwai pata ushauri wa daktari bingwa wa mishipa