Eneo letu limechukuliwa kinyume cha taratibu na serikali. Nahitaji msaada

LugaMika

Member
Mar 13, 2024
38
53
Samahani, natumaini umzima wa afya.

Mi nilikuwa naomba msaada wako kwenye jambo hili ili kisiharibike kityu.

Baba angu mimi amekumbana na changamoto ya kutwaliwa eneo lake na taasisi ya Serikali.

Lakini utwaaji huu unaonekana ni batili kwani hamna malipo halali ambayo yanafanyika kutokana na kutakwa kutia sahihi kwenye hundi ya malipo takribani TShs Milioni 109.754. Ambapo malipo hayo tunayakataa kwa hoja zifuatazo;

1. Thamani ya nyumba 1 na ghofu ni takribani milioni 95.2 wakati zilipojengwa mwaka 2018 na kuna kisima milioni 6, kuna mikorosho 50 ukuaji 100% na imevunwa mara 2 na miti mingine ya matunda. Eneo ni ekari 3.5 lipo km 1.5 kutoka Dodoma-Morogoro road.

Dodoma mjini (Mtumba (Mji wa kiserikali)).

Kutokana na mchanganuo huo thamani ya vitu hivyo kwa sasa ni kubwa na haipaswi kuwa hivyo.

2. Shitaka hili lilitimiza mwaka tarehe 26.02.24 kuwepo mahakamani pasina kusikilizwa hata mara moja mpaka kumalizika kwa muda wake.

Hivyo ni viashiria vya kuwepo kwa udanganyifu.

3. Taarifa za uthamini hazikuwa sahihi kwani zinaonesha kuwa ni za kugushi na si halali.

Na ujenzi wa wavamizi hao unaendelea.

Ombi langu kwako, kwa kuwa wewe ni mfanyakazi wa Serikali huenda ukatusaidia mimi na Baba au mmoja kati yetu kuonana na viongozi wa ngazi za juu, kati ya Makonda, Waziri wa Ardhi Mh. Jerry, au wa juu zaidi ya hapo maana hili jambo nadhani wanaoliangalia ni wakubwa. Ndio maana Mahakama haikuwa na nguvu.

Kaka naomba msaada wako, kwani kwa nguvu zangu nimeshindwa kuonana nao. Nilizuiliwa njiani pasina sababu za wazi.

Kuna malipo ya milioni 1.5 na sio Rushwa. Wa kunisaidia 0685237039.
 
Samahani ,Natumaini umzima wa afya.
Mi nilikuwa naomba msaada wako kwenye jambo hili ili kisiharibike kityu.
Baba angu mimi amekumbana na changamoto ya kutwaliwa eneo lake na taasisi ya Serikali .
Lakini utwaaji huu unaonekana ni batili kwani hamna malipo halali ambayo yanafanyika kutokana na kutakwa kutia sahihi kwenye hundi ya malipo takribani TShs Milioni 109.754.Ambapo malipo hayo tunayakataa kwa hoja zifuatazo;
1.Thamani ya nyumba 1 na ghofu ni takribani milion 95.2 wakati zilipojengwa mwaka 2018 na kuna kisima Milion 6 ,Kuna Mikorosho 50 ukuaji 100% na imevunwa mara 2 na miti mingine ya matunda .Eneo ni Ekari 3.5 lipo KM 1.5 kutoka Dodoma -Morogoro road.
Dodoma mjini(Mtumba (Mji wa kiserikali)).
Kutokana na mchanganuo huo thamani ya vitu hivyo kwa sasa ni kubwa na hàipaswi kuwa hio.
2.Shitaka hili lilitimiza mwaka tarehe 26.02.24 kuwepo mahakamani pasina kusikilizwa hata maramoja mpaka kumalizika kwa muda wake.
Hivyo ni viashiria vya kuwepo kwa udanganyifu.
3.Taarifa za uthamini hazikuwa sahihi kwani zinaonesha kuwa ni za kugushi na si halali.
Na ujenzi wa wavamizi hao unaendelea .

Ombi langu kwako ,kwa kuwa wewe ni mfanyakazi wa Serikali huenda ukatusaidia mimi na Baba au mmoja kati yetu kuonana na viongozi wa ngazi za juu ,kati ya Makonda ,Waziri wa Ardhi Mh.Jerry ,Au wa juu zaidi ya hapo maana hili jambo nadhani wanaoliangalia ni wakubwa Ndio maana Mahakama haikuwa na nguvu.
Kaka naomba msaada wako ,kwani kwa nguvu zangu Nimeshindwa kuonana nao .Nilizuiliwa njiani pasina sababu za wazi.
Kuna malipo ya Milioni 1.5 na sio Rushwa. Wa kunisaidia 0685237039
Matapeli mna njia nyingi
 
Hakuna malipo ya awali katika hio Milioni 1.5?
Sababu unaweza/mnaweza fanikisha halafu malipo yakapotelea hewani.

Waaminishe wanajamii wakuelewe hapo kwenye malipo.
Watu wa kukusaidia wapi Ila shida ni hiyo tu....malipo....🤔
 
Samahani ,Natumaini umzima wa afya.
Mi nilikuwa naomba msaada wako kwenye jambo hili ili kisiharibike kityu.
Baba angu mimi amekumbana na changamoto ya kutwaliwa eneo lake na taasisi ya Serikali .
Lakini utwaaji huu unaonekana ni batili kwani hamna malipo halali ambayo yanafanyika kutokana na kutakwa kutia sahihi kwenye hundi ya malipo takribani TShs Milioni 109.754.Ambapo malipo hayo tunayakataa kwa hoja zifuatazo;
1.Thamani ya nyumba 1 na ghofu ni takribani milion 95.2 wakati zilipojengwa mwaka 2018 na kuna kisima Milion 6 ,Kuna Mikorosho 50 ukuaji 100% na imevunwa mara 2 na miti mingine ya matunda .Eneo ni Ekari 3.5 lipo KM 1.5 kutoka Dodoma -Morogoro road.
Dodoma mjini(Mtumba (Mji wa kiserikali)).
Kutokana na mchanganuo huo thamani ya vitu hivyo kwa sasa ni kubwa na hàipaswi kuwa hio.
2.Shitaka hili lilitimiza mwaka tarehe 26.02.24 kuwepo mahakamani pasina kusikilizwa hata maramoja mpaka kumalizika kwa muda wake.
Hivyo ni viashiria vya kuwepo kwa udanganyifu.
3.Taarifa za uthamini hazikuwa sahihi kwani zinaonesha kuwa ni za kugushi na si halali.
Na ujenzi wa wavamizi hao unaendelea .

Ombi langu kwako ,kwa kuwa wewe ni mfanyakazi wa Serikali huenda ukatusaidia mimi na Baba au mmoja kati yetu kuonana na viongozi wa ngazi za juu ,kati ya Makonda ,Waziri wa Ardhi Mh.Jerry ,Au wa juu zaidi ya hapo maana hili jambo nadhani wanaoliangalia ni wakubwa Ndio maana Mahakama haikuwa na nguvu.
Kaka naomba msaada wako ,kwani kwa nguvu zangu Nimeshindwa kuonana nao .Nilizuiliwa njiani pasina sababu za wazi.
Kuna malipo ya Milioni 1.5 na sio Rushwa. Wa kunisaidia 0685237039
Ngoja wataalam waje
 
Attachments

  • Screenshots_2024-03-23-21-13-42.png
    Screenshots_2024-03-23-21-13-42.png
    662.2 KB · Views: 2
  • Screenshots_2024-03-23-21-16-20.png
    Screenshots_2024-03-23-21-16-20.png
    570.3 KB · Views: 2
Samahani ,Natumaini umzima wa afya.
Mi nilikuwa naomba msaada wako kwenye jambo hili ili kisiharibike kityu.
Baba angu mimi amekumbana na changamoto ya kutwaliwa eneo lake na taasisi ya Serikali .
Lakini utwaaji huu unaonekana ni batili kwani hamna malipo halali ambayo yanafanyika kutokana na kutakwa kutia sahihi kwenye hundi ya malipo takribani TShs Milioni 109.754.Ambapo malipo hayo tunayakataa kwa hoja zifuatazo;
1.Thamani ya nyumba 1 na ghofu ni takribani milion 95.2 wakati zilipojengwa mwaka 2018 na kuna kisima Milion 6 ,Kuna Mikorosho 50 ukuaji 100% na imevunwa mara 2 na miti mingine ya matunda .Eneo ni Ekari 3.5 lipo KM 1.5 kutoka Dodoma -Morogoro road.
Dodoma mjini(Mtumba (Mji wa kiserikali)).
Kutokana na mchanganuo huo thamani ya vitu hivyo kwa sasa ni kubwa na hàipaswi kuwa hio.
2.Shitaka hili lilitimiza mwaka tarehe 26.02.24 kuwepo mahakamani pasina kusikilizwa hata maramoja mpaka kumalizika kwa muda wake.
Hivyo ni viashiria vya kuwepo kwa udanganyifu.
3.Taarifa za uthamini hazikuwa sahihi kwani zinaonesha kuwa ni za kugushi na si halali.
Na ujenzi wa wavamizi hao unaendelea .

Ombi langu kwako ,kwa kuwa wewe ni mfanyakazi wa Serikali huenda ukatusaidia mimi na Baba au mmoja kati yetu kuonana na viongozi wa ngazi za juu ,kati ya Makonda ,Waziri wa Ardhi Mh.Jerry ,Au wa juu zaidi ya hapo maana hili jambo nadhani wanaoliangalia ni wakubwa Ndio maana Mahakama haikuwa na nguvu.
Kaka naomba msaada wako ,kwani kwa nguvu zangu Nimeshindwa kuonana nao .Nilizuiliwa njiani pasina sababu za wazi.
Kuna malipo ya Milioni 1.5 na sio Rushwa. Wa kunisaidia 0685237039
Kwanza nakushauri chukueni hiyo fedha kwanza halafu muendelee na madai mengine kwani kama ni taasisi ya serikali mtapata taabu sana kupata fedha mnayodai. Kumbuka thamani ya fedha inashuka kila mwaka na serikali itawalipa bila kuangalia kushuka kwa thamani ya fedha.

Je unaweza kuiweka wazi hiyo taasisi? Lakini muhimu msije kudanganywa na wapambe kuwa mnastahili malipo zaidi wakati huenda siyo kweli.
 
Back
Top Bottom