Mtafute mfanyakazi wa ndani awe wa kabila la kirangi. Nakumbia atawatega ndege wote na kuwala. Warangi wanasifika kwa kula ndege wote mpaka bundi.
Shem wataka ulimboo wewe? Mie wangu nnao, semea sijajua unautaka wotewote?
Unaazima?
Ni wa kufikia tu!
Viache nimekumaind.............mimi viko kwenye mlango wa kuingilia na vimejenga kabisa, hapa nilipokaa naona nyumba yao!
Popote uendapo vinakufuata? Kama vinakuja viwili ujue vinakukumbusha ufunge ndoa mapema
Kwa hiyo msaada hapa unatakiwa upi charminglady? Miss u
Una utani na warangi?
Mungi sasa hg wa kirangi ntampata wapi????
Kondoa ndo wanapatikana charminglady, kama vipi nitume kuna sehemu wanaiita Ngarenaro ni kubwa kuliko Arusha nikuagizie fasta!
ntafutie basi... ila asiwe na mvuto akamtega my hezbend wangu @c6....
Hahaaaaaaa! Tangaza dau haraka..................... kuhusu kumtega huwa hawana shida.............. tena anamwuliza my hezbend wako kama imeingia........... hawaisikii kabisa so hata kumtega inakuwa ngumu
jaribu kuchunguza dirishani vinapenda nini then jaribu kuwajengea bird feeder(nashndwa sasa ku upload picha hapa) dirisha lako likoje? Vindege hasa vidogo vinapenda sehemu flat kwenye kivuli vitapumzika hapo na kupiga story hata vingine kubanjuana hapo hapo. . .ushauri, just find a bird feeder itengenezewe chini ya kivuli uwe unawawekea hata vi punje punje wachezee kwa mbali wataondoka tu dirishani kwako. .
mkuu... tatizo ni kwamba si home pekee... hata niwapo safarini huwa vinakuja!!!!
Popote uendapo vinakufuata? Kama vinakuja viwili ujue vinakukumbusha ufunge ndoa mapema
Yani hata ukiwa safarini vinakuja kwenye dirisha lako wewe tu? Thats a scene,geez, sasa, like kama ukiwa hotel mahali unastukia dirishani kuna vindege?