msaada jamani

mkuu unaweza kudhani natania lakini ni kweli kabisa hata Mwenyezi Mungu ni shahidi.. nilliwahi kuvipiga picha ila nimeshindwa ku-upload hapa... yeah nikiwa hotelini vinakuja... huwa nasikia vitu vinagongagonga kwenye kioo nikienda kuangalia nakuta ni vindege tena viwili....

Yo've got some natural psychic powers basi. . .ngoja ntaku pm nikwambie kitu.
 
Hivo vindege vinajiona kwenye kioo na kuanza kugombana vikidhani ni mwenzake.
Hapa jirani kuna jamaa side mirror yake kila siku ndege wanaigombania.
 
habari ya jumapili?
hapa home kuna miti na maua... pamekuwa kuvutio kikubwa kwa ndege (birds) sasa cha kushangaza na kilichonifanya niandike huu uzi ni kwamba kuna vindege flan vidogo vinapenda kuja dirishani kwangu vikiwa viwili.. basi vitagonga gonga kioo mpk niamke nivifukuze... siku nyingine vinakuja vyenye rangi nyekundu nyekundu... siku nyingine vua njano njano na ukivifukuza vinakaa km dakika.15 hivi then vinarudi... yan nashindwa kusinzia nyakati za mchana... siku moja nipo bafuni pia vikaja vinapiga keleleeee... huwa napata hasira mwishowe naishia kucheka tu... lakini cha kushangaza haviwezi kwenda kwenye dirisha la mummy au wadogo zangu ni kwangu tuu.... nashindwa kuelewa huwa ni kwanini... hasa hivi ninavyopost nimetoka kuvufukuza!!!

Waooooo, charminglady, kumbe we ni mwenyeji wangu? Karibu sana huku home make vusenene vunazidi kuanguka!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hivo vindege vinajiona kwenye kioo na kuanza kugombana vikidhani ni mwenzake.
Hapa jirani kuna jamaa side mirror yake kila siku ndege wanaigombania.

Hata mimi nahisi hii ndio sababu...only reflection.
Kuna wakati fulani nishawahi kumshuhudia jogoo mmoja mtemi sana mtaani akipigana na kioo akidhani ni jogoo mwenzake...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom