Cassablanca
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 324
- 590
Kifaransa: Ne pas éteindre la lumière
Kireno: Não apagar a luz
Kireno: Não apagar a luz
Hahaha, ndo naikubali sana jamii forum. Acha niwe mtumwa tu hamna namnaAKIZIMA LEO MUWASHE KOFI MATATA HALAFU UWASHE TENA TAA. RUDIA ZOEZI HILI MPAKA AELEWE.
Akizima wewe mwambie " Allumez les Lumières." Meaning turn on the lights.AKIZIMA LEO MUWASHE KOFI MATATA HALAFU UWASHE TENA TAA. RUDIA ZOEZI HILI MPAKA AELEWE.
Ha ha ha haha ha!Tukisema ccm itatawala milele watu wanabisha
Kashakipata alichokuwa anakitafutaSidhani kama muuliza swali atapata alichokitaka
Sijui mkuu mm ni mganda, Niko Entebbe hapaKwa kihaya je
Chichi ssebo..Sijui mkuu mm ni mganda, Niko Entebbe hapa