Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,371
- 100,421
Naona huyu bwana Musa atakuwa ameshasolve hiyo prblm....kama bado basi siku nyingine ajitahidi kuwa serious....watu tumepata wasiwasi lakini naona hajali hiyo....next tym mtu mwingine akiwa na shida watu watashindwa kusaidia
Basi lililotekwa ni mali ya Golden inter city na lilikuwa likienda mwanza
tafadhali zi-save for future useJamani nimepata namba zote na tumejitahidi kuzitumia kuomba msaada na kutoa taarifa kumbukeni pia tuko porini so, na network ni problem pia. But so far we have survived.
tafadhali zi-save for future use
Jamani nimepata namba zote na tumejitahidi kuzitumia kuomba msaada na kutoa taarifa kumbukeni pia tuko porini so, na network ni problem pia. But so far we have survived.
kutokana na tukio hili nimejifunza niwe na namba za polisi.. ngoja nizi-save!!
viva jfhapa sasa jf na idumu milele.......! Tudumishe umoja na mshikamano....tusaidiane katika shida raha pasipo kujali tofauti ya itikadi zetu.....!
Viva tanzania....viva tanzania...!
Habari wanaJF naomba msaada wa haraka kutoa taarifa kwa wahusika wa jeshi la polisi kwani kuna basi limetekwa mbele yetu zaidi ya nusu saa na hakuna polisi wala nini tuko kijiji cha makere wilaya ya kasulu tunasafiri kwenda Dar.
vipi ukijaribu kupiga emergency number nadhani ni 112....mlioko Kigoma msaada jamani
uuuh...poleni sana najua mlipata mitikisiko ya moyo....hiyo hali huwa inatisha sana......huyo jamaa aliyekufa ni abiria wa hilo basi lililotekwa au ni kati ya hao polisi?