Barnaba mbalale
Member
- Apr 4, 2014
- 55
- 6
- Thread starter
-
- #41
Okay,
Malengo yako ya maisha ni yapi kwa sasa?
Je umemaliza masomo?
Kama ni ndio hapo juu, unafanya shughuli gani ya maendeleo?
Kijana maisha yetu yana nyakati mbalimbali, na kosa ambalo wengi wetu hufanya ni kujaribu kuharakisha baadhi ya mambo kabla ya wakati sahihi kutimia.
Mungu alivyoumba mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke dhumuni kubwa lilikuwa ni kuwaona wawili hawa wanafikia kilele cha mahusiano ambacho ni NDOA.
Pale juu nimekuuliza una malengo gani na binti huyo lakini ulikwepa kunijibu, hivyo bado napata shaka kama ubongo wako umekomaa kiasi cha kujua malengo ya mahusiano ya kimapenzi ni yapi.
Nitumie namba yake ya simu,.mi nitakusaidia kumwambia
akija kuchota maji msogelee na kumsalimia "Hi!"
Akijibu "Hi!" ujue amekubali. mbusu na kumkumbatia ukimshika kiunoni
Akijibu tofauti ujue amekukataa.
All the best
Wewe lazima utakuwa ni Mvulana
jamani me nashindwa kumwambia kama nampenda

utata mkuu
Basi usimwambie
mim nina miaka 18
binti anaendana na mim na nahic nampenda yeye 2 coz akili yang inamuwaza
yeye tu,nataka 2 awe wang daima
nisimwambìe il iweje nizd kuteseka au
mim naenda kuanza form 5 mwez wa 7 na nina malengo mengi tu juu yake ikiwezekana hata kumuoa
Okay,
Malengo yako ya maisha ni yapi kwa sasa?
Je umemaliza masomo?
Kama ni ndio hapo juu, unafanya shughuli gani ya maendeleo?
Kijana maisha yetu yana nyakati mbalimbali, na kosa ambalo wengi wetu hufanya ni kujaribu kuharakisha baadhi ya mambo kabla ya wakati sahihi kutimia.
Mungu alivyoumba mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke dhumuni kubwa lilikuwa ni kuwaona wawili hawa wanafikia kilele cha mahusiano ambacho ni NDOA.
Pale juu nimekuuliza una malengo gani na binti huyo lakini ulikwepa kunijibu, hivyo bado napata shaka kama ubongo wako umekomaa kiasi cha kujua malengo ya mahusiano ya kimapenzi ni yapi.
Aisee, kumbe bado ungali mwanafunzi na tena hujamaliza hata kidato cha sita...
Ushauri wangu kwako ni kuwa tulia usome kwanza,akili na maarifa yako yote yaelekeze kwenye masomo kwa sasa.
Ukiparamia mapenzi kwa sasa ni rahisi kupoteza uelekeo wa malengo yako kielimu na ukajuta hapo baadaye.
Muhimu kwa sasa ni kumfanya tu huyo binti awe rafiki wa kawaida, usigusie kabisa suala la kumuoa maana kwa umri uliona ataona wamdanganya tu.
achana na mapenzi...soma
Bila angalizo la umri hapa,tutapigana vikumbo na wanetu.
Aisee, kumbe bado ungali mwanafunzi na tena hujamaliza hata kidato cha sita...
Ushauri wangu kwako ni kuwa tulia usome kwanza,akili na maarifa yako yote yaelekeze kwenye masomo kwa sasa.
Ukiparamia mapenzi kwa sasa ni rahisi kupoteza uelekeo wa malengo yako kielimu na ukajuta hapo baadaye.
Muhimu kwa sasa ni kumfanya tu huyo binti awe rafiki wa kawaida, usigusie kabisa suala la kumuoa maana kwa umri uliona ataona wamdanganya tu.
xaxa nifanyeje na mim nampenda