msaada jamani-modem

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,492
595
[h=6]hello, help out please,nimenunua modem ya ttcl nimeshindwa namna ya kuongeza muda wa hewani nahitaji msaada tafadhali[/h]
 

Shingo

Senior Member
Mar 26, 2009
127
37
hello, help out please,nimenunua modem ya ttcl nimeshindwa namna ya kuongeza muda wa hewani nahitaji msaada tafadhali

weka modem yako kwenye pc. Ikishamaliza kufanya installation, double click icon yake ifungue window ya modem! Utaona vi icon vingi chini, chagua kile kilichoandikwa VOICE CALL. Utaona keypad kwenye screen, tumia hiyo kuingiza 104*(pin ya voucha yako)# kisha click sehemu ya kupiga simu. Utakuwa umemaliza
 

mankipe

Member
Mar 7, 2011
96
12
installation lazma uandike user(modem #@ttclmobile) na password(final 6 digits za modem #)
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom