Jamani wanajamvi naomba msaada jinsi ya kujiunga na freemason kwani marafiki zangu wengi wamekuwa wakinifuata niwaelekeze jinsi ya kupata namba za freemason na kujiunga na freemason kwani mimi niko maeneo ya vijijini ila ninasoma chuo hivyo wanajua kuwa mimi najua hiyo mambo kwani natoka mjini hivyo anayejua naomba anisaidie jamani