Ni ukweli usiopingika kwamba wapo watu wengi wanaotamani kujiunga ila hawajui wako wapi?wanapatikana wapi?na utaratibu wa kujiunga ukoje?npennda kuuliza hili swali kwa niaba ya wale ambao wangependa kujua na mimi pia mmoja wa wanaotamani kuijua vizuri freemasons
Mmataka kujiunga na team AHELA a.k.a kuzimu.Jamani wanajamvi naomba msaada jinsi ya kujiunga na freemason kwani marafiki zangu wengi wamekuwa wakinifuata niwaelekeze jinsi ya kupata namba za freemason na kujiunga na freemason kwani mimi niko maeneo ya vijijini ila ninasoma chuo hivyo wanajua kuwa mimi najua hiyo mambo kwani natoka mjini hivyo anayejua naomba anisaidie jamani
Usitafte laana ya kujitakia mkuu.Bora ujifanye haujui kuliko waanze kama asingekuwa yule?AU ni wewe mwenyewe kamanda?Achana na upuuzi huo mkuu.Bora ufe ukiwa maskn.
⊙<wegr waambie watatafutwa tu na wenyewe ,( vigezo na mashart kuzingatiwa)
Ulipo tay$$¤⊙~('8$¤¤⊙¤<⊙]⊙ari umeshajiunga!ujiunge vpg%%%$<> tena?maana mawazo na'<¤7 faha^<6⊙7¤mu zako tayari ziko huko!Kawatoe sadaka ndug,8uω zako na w>azazi wako pamoja na familia yako!hapo utasajiliwa.