Msaada jamani jinsi ya kujiunga na freemason

Msaada jamani jinsi ya kujiunga na freemason

Achana na hiyo kitu, ushauri wangu wa bure, waambie hao wana kijiji kuwa hufahamu jinsi ya kufanya kujiunga. Au ina maana kijiji kizima msomi na aliyefika mjini ni wewe peke yako?
 
Money has no diminishing utility Aristotle, the more you have it the more you want it. Kuwa tu na kiasi na ridhika na ulichonacho. Ohh utaua watoto wako kwa ajili ya pesa.
 
Huo n ujinga n bora ukalime kuliko kuendekeza mambo ya kishetan
 
naona mdau anatamani utajiri wa haraka usio na baraja. fanya kazi acha uvivu.
 
Kagoogle.. msomi gani hujui mahali pa kusearch vitu usivyovijua..!
 
Mungu niepushe mja wako na akili hizi.
Nipe kinachostahili kwa kadiri ya mapenzi yako
 
sitaki kuamini nilichokisoma
sitaki kushiriki nilichokisoma
sitaki kuamini msomi kama ww unataka kuwa lango la giza
sitaki kuamini umeshindwa kuwashauri
njia wanayotaka kupita itawaletea majuto maishani
oooooooh maskini
''watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa''

Nani kakuambia freemason ni lango la giza?? Nenda deep isome kuhusu hii kitu hutaona popote panazungumzia 'giza'

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
sitaki kuamini nilichokisoma
sitaki kushiriki nilichokisoma
sitaki kuamini msomi kama ww unataka kuwa lango la giza
sitaki kuamini umeshindwa kuwashauri
njia wanayotaka kupita itawaletea majuto maishani
oooooooh maskini
''watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa''

Ee Mungu Baba wa Bwana wangu Yesu Kristo aliyefanyika maskini ili mimi niwe tajiri lakini akaonya kuwa ni vigumu tajiri kurithi ufalme wa mbingu! Nakushukuru kwa kwa kuwa sina roho ya kutaka utaji na asante kwa kuwa nafurahi na kuridhika mno na maisha ya kawaida kuliko maisha ya ufahari na umaarufu.Naomba uyaangazie macho na masikio yangu yaone na kusikia na kuongea habari zako siku zote kuliko habari za WAPINGA KRISTO Kama Skull & bones, illuminati, freemasonry na mawakala wengineo wa shetani.NIMEOMBA HAYA KATIKA JINA LA YESU KRISTO.Amina!
 
Kweli uko Chuo weye,na unasomea nini vile?ungekuwa jirani na Mimi ningekuzaba vibao,msomi unashindwa kuwaeleza hao wanakijiji kuachana na ujinga huu kweli,waambie walime sana na kufanya Kazi waache kuona hizo ndoto wakiingia Huko mtaisha kijiji choote.....
 
Kweli uko Chuo weye,na unasomea nini vile?ungekuwa jirani na Mimi ningekuzaba vibao,msomi unashindwa kuwaeleza hao wanakijiji kuachana na ujinga huu kweli,waambie walime sana na kufanya Kazi waache kuona
hizo ndoto wakiingia Huko mtaisha kijiji
choote.....
hata panya hatosalia kwenye nyumba
 
Okey nimekuelewaa mkuu kujiunga ni process kidogo ila tafuta million kumi ukishapata unipm nkuelekeze form zao ghali kidogo
 
Jiingize dole gumba la mkono wa kulia mkun*uni then fumba macho huku mkono wa kushoto ukiwa umeonyosha juu
 
kama kweli yupo serious aende pale posta freemason hall atapewa taarifa zote
 
Jiingize dole gumba la mkono wa kulia mkun*uni then fumba macho huku mkono wa kushoto ukiwa umeonyosha juu

Akiwa uchi au na nguo zake..!??? kwi kwi kwi kwi iii!!!!
 
Back
Top Bottom