Msaada jamani jinsi ya kujiunga na freemason

Msaada jamani jinsi ya kujiunga na freemason

FREEMASONRY TANZANIA
JINSI YA KUJIUNGA NA JUMUIYA YA FREEMASONRY TANZANIA
-Freemason kamwe aina ubaguzi wa rangi wala kabila aina ubaguzi wa dini wala jinsia uwe mwanamke au mwanaume Unaweza kuwa mwanachama.
-Kujiunga na jumuhiya hii kunakwenda na mambo mengi sana kama wewe sio mtu uliedhamilia kwa dhati inaweza kuku ghalimu katika maisha yako , Jumuhiya hii uwajali na kuwathamini wa wanachama wake kwa uwalimbikizia Utajiri na kuwapa Umaarufu watu wake
-Kwa mwanamke unatakiwa uwe na umri kuanzia miaka 23 kupanda juu na kwa mwanaume umri kuanzia miaka 21 kupanda juu
-Freemason uinua makanisa mbali mbali pia Uinua wachungaji kwa na kuwapa karama ya kutenda miujiza
-Freemason Umtoa mwanachama wake katika dhiki na kumpa furaha ya milele Utajiri usio na kikomo
-Freemason Uwabeba watu na kuwapa Umaarufu
JIUNGE NASI PIGA 0762 411690

Vipi wewe umewezeshwa kufanya nini na kupata nini?
 
Kuna njia moja tu ya kumfikia Yehova, nayo ni Yesu Kristo (Iesus kristus). Hata ukipewa dunia nzima na mali zote zilizomo bila Yesu ni bure!! ni kujilisha upepo. Yesu ni kila kitu.

Mungu akubariki
 
Jamani wanajamvi naomba msaada jinsi ya kujiunga na freemason kwani marafiki zangu wengi wamekuwa wakinifuata niwaelekeze jinsi ya kupata namba za freemason na kujiunga na freemason kwani mimi niko maeneo ya vijijini ila ninasoma chuo hivyo wanajua kuwa mimi najua hiyo mambo kwani natoka mjini hivyo anayejua naomba anisaidie jamani
hujatumwa na mtu ila ni wewe unataka kujiunga.pole si bure nadhani una laana ya wazazi
 
Jamani wanajamvi naomba msaada jinsi ya kujiunga na freemason kwani marafiki zangu wengi wamekuwa wakinifuata niwaelekeze jinsi ya kupata namba za freemason na kujiunga na freemason kwani mimi niko maeneo ya vijijini ila ninasoma chuo hivyo wanajua kuwa mimi najua hiyo mambo kwani natoka mjini hivyo anayejua naomba anisaidie jamani

kasome vizuri kwenye jukwaa la ujasilia mali, watu wanauliza jinsi ya kufanya biashara, kukuza mitaji, kujiajiri. wewe unatafuta jinsi ya kuangamiza familia yako na nduga zako? sidhani kama uko chuo kweli utakuwa unatudanganya. ungekuwa chuo unge fikiria kwa IQ kubwa kabla ya kuleta hoja. wasomaji wa biblia nisaidie kumalizia kwa kuniwekea kifungu kisemacho waacheni wafu wazike wafu wao...........................
 
Freemason ni group la "Majiri Kweli" sasa kama ni mabilionea waambie waende pale Freemason Hall Dar es salaam mkabala na Kilimanjaro hotel
 
nenda posta pale zaman ilikua inaitwa kilimanjaro hotel kuna ofisi zao watakusaidia
 
Kujiunga ni rahisi sana.mziki unakuja katika kutimiza masharti ya kupata mafanikio uyatakayo. moja ya masharti ni kuuwa watu wako wa karibu kama wazazi au ndugu zako. utaweza wew??

hata hivyo fedha na dhahabu ni mali ya bwana.....
 
Baba na mama au watoto wako ndio kiingilio au mkeo. Wanavyo dai ila sio kweli, hili kundi lilianzia marekani long time ago. Ni kundi la wajenzi (waashi) waliokuwa wanatumikishwa na matajiri pasipo maslahi. Ndipo wakaungana na kuunda kundi na kufanya kazi zao wenyewe, wakajiita free manson yaani wajenzi huru. Wakapata mafanikio makubwa na kuwa mabilionea, kwahiyo kuna uzushi mwingi kuhusu freemanson usio na ukweli wowote. Hili ni kundi la matajiri masikini hana nafasi. Namna ya kuingia kundi hili kwanza uwe milionea, halafu ukiwa member unawezeshwa kuufikia ubilionea na utirionea.
 
Nina unganisha watu na Freemasonry nitumie kiingilio kwa M Pesa
 
aachana na matapeli. Piga namba yao hii moja kwa moja 11111111111
bila kuweka nambari kiunganishi wala nini.
 
nenda kinondoni manyanya kuna pub inaitwa free masson pub...ingia utakuta li dem booonge hivi...lina form. kichwani lina rasta amezifunga km pembe za yule mkulu wao...
 
Kazi rahisi tu! Jinyonge, then unaenda moja kwa moja jehanam kwa Mr Lucifer, huyo ndo kubwa la maadui!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Lete majogoo matatu, mmoja mwekundu, mwengine awe mweusi na wamwisho awe mweupe, lete na mchele kilo saba na mzigo huo unamtuma shemeji aulete na atalazimika kupiga kambi sehem ya maombi kwa siku tatu. Akirud nyumban tu we member tayar
 
huwa hawachukui watu wenye akili na mtizamo kama wako
 
Back
Top Bottom