Msaada jaman : Najisikia vibaya

Msaada jaman : Najisikia vibaya

Ok kutatua tatizo lako fahamu yafuatayo!

A. Kutokwa shahawa na kufika kilele kwa mwanaume ni vitu viwili tofauti ila vinatokea kwa pamoja!
B. Kitakachofanya uume uendelee kusimama ni kutokufika kilele hata kama shahawa zimetoka!
C. Inapotokea msuguano (kusisimuliwa) kwa aina yoyote kwa uume wakati shahawa zinatoka basi kufika kilele ni lazima na pia uume kusinyaa ni lazima! hivyo kama hakuna kusisimuliwa, hakuna kilele! na kama hakuna kilele hakuna uume kusinyaa ila shahawa zitatoka kama unakojoa!

Tenganisha kati ya kumwaga shahawa na kufika kilele kwa kufanya yafuatayo

Ukishafika point of no return (huwezi kuzuia kumwaga) tulia pasipo kutingishika ili kuzuia kusisimuliwa na kama mwanamke uliyenae ni machachari basi chomoa uume mara moja na tulia, shahawa zitatoka kama unaekojoa bila msisimko na uume utaendelea kusimama

Rudi kwenye game huku ukisikilizia, kwani iwapo hazikutoka zote, upo uwezekano wa kufika kilele mara utakaporudi! Hivyo unashauriwa kusubiri kama 30 sec kabla ya kurudi tena.

Ikitokea shahawa hazikutoka zote, au ulikua na ukame wa muda mrefu, rudia zoezi hadi utakapokua hupati msisimko na baada ya hapo unaweza kupiga mzigo kwa muda unaotaka na kwa stahili zote bila ya valuu vodka wala konyagi

Sorry kwa lugha kali iliyotumika! and for more just pm

Nimekukubali mkuu, nilikuwa na tatizo kama la jamaa mpaka nikawa namboa mwenzangu nikatumia njia uliomshauri jamaa kwa sasa nipo vizuri mpaka naye analalamika nachelewa siku hizi.
 
huwa unakutana na manzi wako mara kwa mara? acha papara mkuu, afu em jaribu kupunguza kifo cha mende(man on top), pendelea the rider(she on top), hapo inapunguza steep slope na kukufanya u-delay kidogo kwenye ejaculation, ikishindikana nenda kwa wataalamu wa mambo hayo bila shaka utakuwa na tatizo la premature-ejaculation.
 
Hili tatizo tulishatoa comments kadhaa humu lakini kwa haraka haraka unahitaji destruction. Unaconcentrate sana na kubana misuli ndio maana.

Jaribu hii,,,, Tafuta vikokoto au michanga, pigia mgoti ili uwe unaumia wakati mpenzi wako yuko kwa mbele. Hakikisha unaumia haswa kwenye magoti na uconcentrate kwenye maumivu. Fanya hivyo wakati unachubua magoti. Taratibu na usibane misuli.

Ukiweza hili zoezi mara 3 mpaka 5. Utakuwa umejiongezea muda wa kufikia mshindo. Nitakupa hint nyingine
 
Nimekukubali mkuu, nilikuwa na tatizo kama la jamaa mpaka nikawa namboa mwenzangu nikatumia njia uliomshauri jamaa kwa sasa nipo vizuri mpaka naye analalamika nachelewa siku hizi.

Ukitumia njia hii, unaweza gonga mzigo mpaka asubuhi!
 
hii problem inagrow na kugrow kila siku....kwa wenye uelewa mzuri hebu tuwasaidieni wenzetu...plz plz tunaokoa ndoa za watu jamani mizaha ipungue.

Jaman, wengine mbn hao wazungu wanachelewa hadi inafikia hatua mwenzangu analalamika amechoka sana wakati mim hata dalili za ugeni hazipo...
 
mkuu fanya romance na mengine mpaka umwage nje goli la kwanza then goli la pili na mengineyo yatachelewa2. hamisha hisia na chomoa uume alafu 2mia vidole wakat huo ili usimpotezee mudy mwenzio alaf endelea tena. hapo utafanikiwa ukifali na hii njia bac ujue wewe nikikojoz
 
Back
Top Bottom