Msaada jaman : Najisikia vibaya

Msaada jaman : Najisikia vibaya

Kufika mapema ni faida zaidi kwako kuliko kuchelewa.

Baadhi ya wanaume wanaochukua muda mrefu kufila kileleni huwa wanapata shida kumpa kumpa mwanamke ujauzito.

kwa hiyo, chagua moja: kufika kilele mapema na kumpa mwanamke ujauzito au kuchelewa na uwezekano wa kutoweza kumpa mwanamke ujauzito.

Vinginevyo, tumia ulimi wako na vidole vyako. Inaonekana unatumia muda mwingi kwenye kikojoleo chako na sidhani kama ulimi wako unafanya "workout" ya kutosha.

Ulimi ni mgumu kuliko mfupa na utamfanya afike kabla yako. Wanasema "a tongue is hard than a double edged sword".

Kwa maana hiyo basi kama ukitumia ulimi wako vizuri badala ya ku-concentrate kwenye kikojeleo lazima utachelewa kufika.

This is because your tongue is the only muscle in your body that works harder than your heart, let alone your penis.
 
... kwa kurahisisha mambo hapo No. 3 fikiria huyo demu kama ana HIV halafu kondom ipasuke bila wewe kushtukia mapema ITAKUWAJE?
Ukimaliza mapema wewe bassss tena.

Siungi mkono kabisa hiyo advise. Nimeshaona watu wengi wanashauri eti wakati ukiwa kwenye game, jaribu kufikiria something else na itakusaidia kuchelewa kufika kileleni.

Hey, you're in the game and you need to think about it when performing. Just imagine mwanamke unayefanya nae game angeweza kuingia kwenye ubongo wako na kukuta umfikiria kuwa ana HIV?

You're supposed to enjoy the game. You are supposed to put all your attention to the game. You need to give as well receive please. Ndiyo mpango mzima wa kujahimiana.

I am sure kuna njia mbadala za kufanya uchelewe kufika kileleni lakini siyo kumfikiria sijui mwanamke ana HIV, sijui kufikiria mambo ya kazini, n.k.
 
Kufika mapema ni faida zaidi kwako kuliko kuchelewa.

Baadhi ya wanaume wanaochukua muda mrefu kufila kileleni huwa wanapata shida kumpa kumpa mwanamke ujauzito.

kwa hiyo, chagua moja: kufika kilele mapema na kumpa mwanamke ujauzito au kuchelewa na uwezekano wa kutoweza kumpa mwanamke ujauzito.

Vinginevyo, tumia ulimi wako na vidole vyako. Inaonekana unatumia muda mwingi kwenye kikojoleo chako na sidhani kama ulimi wako unafanya "workout" ya kutosha.

Ulimi ni mgumu kuliko mfupa na utamfanya afike kabla yako. Wanasema "a tongue is hard than a double edged sword".

Kwa maana hiyo basi kama ukitumia ulimi wako vizuri badala ya ku-concentrate kwenye kikojeleo lazima utachelewa kufika.

This is because your tongue is the only muscle in your body that works harder than your heart, let alone your penis.
Mkuu EMT asante kwa ushauri. Kwa sababu nimekuwa nikifika mapema zaidi kileleni nimekuwa nikitumia vidole na ulimi kwa muda mrefu zaidi ili kuweza kumfikisha mwenzangu pahala stahiki. labda naomba kujua nin hupunguza uwezekano wa wanaume ambo huchelewa kufika kilelen kushindwa kusababisha mimba?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
... kwa kurahisisha mambo hapo No. 3 fikiria huyo demu kama ana HIV halafu kondom ipasuke bila wewe kushtukia mapema ITAKUWAJE?
Ukimaliza mapema wewe bassss tena.
ebwana kichwat wewe noma duuuuuuuuuuuuuuuuh
 
jaribu kumpunguza concetration wakati unafanya na wifi yetu. Yaani maanisha wakati unafanya jaribu kuwaza hata kashikashi ulioipata wakati wa mabomu gongo la mboto kama yalikuhusu.
 
Mkuu EMT asante kwa ushauri. Kwa sababu nimekuwa nikifika mapema zaidi kileleni nimekuwa nikitumia vidole na ulimi kwa muda mrefu zaidi ili kuweza kumfikisha mwenzangu pahala stahiki. labda naomba kujua nin hupunguza uwezekano wa wanaume ambo huchelewa kufika kilelen kushindwa kusababisha mimba?

Kwanza matatizo makuu matatu ya wanaume wengi kwenye area hii ni kutofika kabisa, kuwahi kufika na kuchelewa kufika. Tofauti na kuwahi kufika, kuchelewa kufika ni ngumu kutibika.

Kuchelewa kufika inaweza kusababishwa na vitu vingi tuu kama ilivyo kuwahi kufika. Mojawapo ni stress, anxiety, and lack of sexual confidence. Pia wanasema malezi yanachangia sana hasa kama ulikuwa na strict upbringing. Wengine wana-admit kuwa wana controlling personalities.

Wengi wa hawa watu wanakuwa na tatizo la kutoonyesha emotions and in "letting it go". Sababu nyingine ni kuogopa kumpa mwanamke ujauzito, hisia kuwa sehemu za siri za mwanamke ni chafu, kulelewa kwenye maisha yanayofuata dini sana, ulevi, serious spinal injuries na latent homosexuality.

Wakati ukiwa kijana unaweza usilione hili kama tatizo. In fact unaweza kuwa popular with the girls kwa kuchukua masaa 2 hada 3 kufika kileleni. Tatizo linakuja pale unapokuwa kwenye regular relationship with one woman, na huyo mwanamke anataka watoto.

Mwanamke hataweza kuhimili kwa muda wote huyo maana wote mnaweza kuishia kuchubuka na kuwa frustrated. Mwanamke atajisikia resentful or even insulted that her man does not ejaculate when they make love.

Pia wapo wanawake ambao ukichelewa sana kufika wanakuwa na wasiwasi sana kama kweli unawapenda, na ukiwahi kufika wanaamini kuwa umewapenda mpaka umeshindwa kuji-control na kufika mapema. But ikiwa too much inakuwa tatizo, of course.

Lakini kwenye kuchelewa kufika ni kawaida sana kwa mwanaume kuachwa na wanawake wengi kwa sababu ya hao wanawake kutaka kuwa na mwanaume who can ‘come'. Kuna baadhi ya watu huwa wana-associate hili tatizo na umri kwenda mbele lakini ikumbukwe kuwa kwa kawaida wahusika huwa wanaanza kutafuta msaada wa kitaalam when they are desperate to have a baby.

Ukipima kati ya kuwa kufika na kuchelwa kufika ni heri kuwahi kufika, kwa sababu inaweza kutibika au ukatumia njia nyinge ili yeye afike kwanza na wewe umalizie. Bahati mbaya hakuna instant cure ya kuchelewa kufika. There are no drugs that will make a man come earlier.

Kuna mdau alianzisha thread kama hii, akachangia jamaa mmoja ambaye alikuwa na tatizo la kuchelewa kufika na jinsi ilivyokuwa inamletea shida. Inaonekana ilikuwa ni tatizo kubwa sana kwake kuliko hata yule aliyekuwa analalamika kuwahi kufika.

Kwa hiyo wale wanaodhani kuwa kufika kileleni ni tatizo, pia kuchelewa ni tatizo tena ambalo halina tiba.
 
Ni kweli hii hali huwa inakosesha raha, tuchukulie kwamba bao la kwanza ndio linakuja haraka vp unapotafuta bao la pili hali inakuwa hivo hivo? twende hatua kwa hatua.
 
jaribu kumpunguza concetration wakati unafanya na wifi yetu. Yaani maanisha wakati unafanya jaribu kuwaza hata kashikashi ulioipata wakati wa mabomu gongo la mboto kama yalikuhusu.

Kwa hiyo wewe wakati ukiwa kwenye game badala ya kufurahia na ku-enjoy the pleasure ya tendo lenyewe huwa unakuwa unafikiria mabomu ya Gongo la Mboto?

Lets swap things around. Yeye ni mwanaume na wewe mwanamke halafu ujue wakati anafanya lile tendo ha-pay attention kwako bali anafikiria mabomu ya gongo la mboto.

Kwa staili hiyo ni bora tuu kuungana na Kongosho kuwa celibacy.
 
Last edited by a moderator:
Ok kutatua tatizo lako fahamu yafuatayo!

A. Kutokwa shahawa na kufika kilele kwa mwanaume ni vitu viwili tofauti ila vinatokea kwa pamoja!
B. Kitakachofanya uume uendelee kusimama ni kutokufika kilele hata kama shahawa zimetoka!
C. Inapotokea msuguano (kusisimuliwa) kwa aina yoyote kwa uume wakati shahawa zinatoka basi kufika kilele ni lazima na pia uume kusinyaa ni lazima! hivyo kama hakuna kusisimuliwa, hakuna kilele! na kama hakuna kilele hakuna uume kusinyaa ila shahawa zitatoka kama unakojoa!

Tenganisha kati ya kumwaga shahawa na kufika kilele kwa kufanya yafuatayo

Ukishafika point of no return (huwezi kuzuia kumwaga) tulia pasipo kutingishika ili kuzuia kusisimuliwa na kama mwanamke uliyenae ni machachari basi chomoa uume mara moja na tulia, shahawa zitatoka kama unaekojoa bila msisimko na uume utaendelea kusimama

Rudi kwenye game huku ukisikilizia, kwani iwapo hazikutoka zote, upo uwezekano wa kufika kilele mara utakaporudi! Hivyo unashauriwa kusubiri kama 30 sec kabla ya kurudi tena.

Ikitokea shahawa hazikutoka zote, au ulikua na ukame wa muda mrefu, rudia zoezi hadi utakapokua hupati msisimko na baada ya hapo unaweza kupiga mzigo kwa muda unaotaka na kwa stahili zote bila ya valuu vodka wala konyagi

Sorry kwa lugha kali iliyotumika! and for more just pm
 
Mdau EMT, asante kwa maelezo yako. Lakini zingatia hoja ya mleta mada. Anasema ana TATIZO la kumaliza haraka, na linamfanya ajihisi vibaya. Ushauri tunaompa ni kuhusu TATIZO lake, hatuongelei kuhusu hali ya kawaida na mambo ya kufurahia tendo. Yeye tayari hafurahii tendo kwa sababu anahisi hamfurahishi mwenzi wake. Zingatia.
 
Ni kweli hii hali huwa inakosesha raha, tuchukulie kwamba bao la kwanza ndio linakuja haraka vp unapotafuta bao la pili hali inakuwa hivo hivo? twende hatua kwa hatua.
atleast bao la pili kidogo natumia walau dakika mbili hivi.
 
ulidhami mie 'drama queen', sasa umewaona 'drama Kings'

bora celibacy tu.

Kwa hiyo wewe wakati ukiwa kwenye game badala ya kufurahia na ku-enjoy the pleasure ya tendo lenyewe huwa unakuwa unafikiria mabomu ya Gongo la Mboto?

Lets swap things around. Yeye ni mwanaume na wewe mwanamke halafu ujue wakati anafanya lile tendo ha-pay attention kwako bali anafikiria mabomu ya gongo la mboto.

Kwa staili hiyo ni bora tuu kuungana na Kongosho kuwa celibacy.
 
Last edited by a moderator:
binafsi mimi si mtaalamu saana but ushauri wangu unaweza kukusaidia kidogo
1. Tumia muda mrefu saana kumuandaa mwenzio (i mean romance) mpaka uhakikishe amepoteza network.
2.ukiona tayari hayupo amepoteza network anza kazi rasmi.
3.ukiona kama wazungu wanakuja jaribu kustop kwa muda that (to and fro motion) afu hamishia mawazo yako katika jambo lingine.
4.then endelea na to and fro motion

Teh teeh teeeh! kama mi' 'aanni.................. ama kweli wajuvi mpo mpaka humu duh!
 
dogo kama unasugua mara 10 na kukojoa hiyo inatosha sana kwa kuanzia, subiri umri ukisogea na kuanza kuboreka na life itakuwa inachukua muda mrefu kuziachia, ni hayo tu acanthocyte.
 
Mkuu Visenti kweli kwa umri unaokaribia makumi matatu unaniambia nisubir umri uongezeke? kwahiyo unataka nisubir mpaka miaka 50 ndo ntaweza kusugua zaidi wakati huo nikiwa mzee nguvu zimeanza kupungua?
 
Back
Top Bottom