Msaada jaman! Masterz of Education, mshahara sh ngap?

Ndugu believe me or not kwa kuanzia hakuna kitu kama hicho,labda kwa aliye kazini akajiendeleza. TGTS E1 ni 618,000 ukishakatwa unakula 490,000.Karibu sana kwenye fani.

hee!..wanalipwa kdogo hvo hata mtu wa diploma ya course zngne kamzd salary...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom