Msaada jaman kwa watalaam wa magari yamenikuta

wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
2,919
Likes
2,260
Points
280
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
2,919 2,260 280
Wakuu heshima mbele, nimenunua gar yangu aina ya nadia engine yake ni 3s nilikwepa kununua 4d baada ya kuambiwa zinasumbua.
TATIZO LAKE
hii gari haina muda mrefu toka niitoe bandarini just miez 2 tu, one day nilikuwa njian toka moro kwenda tanga, nilipovuka mizan ya chalinze gar ilikuwa speed 100 gafla ikaanza kushuka had zero speed yan nilipokuwa nakanyaga mafuta hai_sense....! Nikavutwa pale, wakat wananivuta nikaiwasha ikawaka, then kama kilometa 5 ikashuka spid had zero na kuzimika, nilipofika gereji wakaniambia eti fuel pump imekufa, wakabadili fuel pump na kuweka mpya...nikaondoka kama km 20 tatzo likajirudia, nikampigia jamaa gereji akawa anajikanyaga tu, anyway nikaipush kwenda mbele nikawasha ikawaka nikafika hom, imetulia kama wik bila kusumbua coz nilikuwa siendi safar za mbali, sasa leo nikatoka wilaya moja kwenda nyingne gafla tatzo likajirudia tena usukan ukawa mgumu na brake zikawa ngumu ukinyaga zipo ngangari! Nikapoz hapo kama dk 20 nikiwasha inamis kama haina mafuta hivi tho gauge ipo nusu na kwel nimeweka mafuta ya kutosha...ikapushiwa kdogo kwenda mbele ikawaka, sasa nilitaka kusafiri nayo toka morogoro kwenda mtwara, jaman c nitamezwa na simba njian kwa tatzo hili, nisaidieni ufumbuzi plz.
 
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
2,919
Likes
2,260
Points
280
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
2,919 2,260 280
Ikizimikaga ukiiwasha haiwak yan kama vile haina mafuta, gar inang'aa yan had watu huwa wananishangaa unasikia mbona gari jipya afu zuuri kwa nn haiwaki...dah basi naumiaaa mwenzenu.
 
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
9,489
Likes
280
Points
180
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
9,489 280 180
duh! Mkuu pole sana kwa majanga yaliyokukuta. Hebu subiri wadau waje kina King Kong III na wengine
 
Last edited by a moderator:
Barca

Barca

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Messages
803
Likes
207
Points
60
Barca

Barca

JF-Expert Member
Joined May 3, 2013
803 207 60
Pole mkuu wacha waje mafundi wakusaidie soon
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
6,632
Likes
7,483
Points
280
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
6,632 7,483 280
Mkuu mimi hali hiyo iliwahi nikuta lakini mie tatizo lilikua ni radiator kuvuja maji kila kitu kilikua kama ulivyoelezea..yaani engine inachemsha..sasa sijui hapo inakuaje..
 
R

Ramadhan Punzy

New Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
2
Likes
0
Points
0
Age
29
R

Ramadhan Punzy

New Member
Joined Nov 30, 2013
2 0 0
Kuna ishara yyte inayo onyesha ktk dashboard badirisha plug au kagua mafuta hayajachakachuliwa.
 
mwakaf

mwakaf

Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
54
Likes
0
Points
13
mwakaf

mwakaf

Member
Joined Jan 15, 2012
54 0 13
Wakuu heshima mbele, nimenunua gar yangu aina ya nadia engine yake ni 3s nilikwepa kununua 4d baada ya kuambiwa zinasumbua.
TATIZO LAKE
hii gari haina muda mrefu toka niitoe bandarini just miez 2 tu, one day nilikuwa njian toka moro kwenda tanga, nilipovuka mizan ya chalinze gar ilikuwa speed 100 gafla ikaanza kushuka had zero speed yan nilipokuwa nakanyaga mafuta hai_sense....! Nikavutwa pale, wakat wananivuta nikaiwasha ikawaka, then kama kilometa 5 ikashuka spid had zero na kuzimika, nilipofika gereji wakaniambia eti fuel pump imekufa, wakabadili fuel pump na kuweka mpya...nikaondoka kama km 20 tatzo likajirudia, nikampigia jamaa gereji akawa anajikanyaga tu, anyway nikaipush kwenda mbele nikawasha ikawaka nikafika hom, imetulia kama wik bila kusumbua coz nilikuwa siendi safar za mbali, sasa leo nikatoka wilaya moja kwenda nyingne gafla tatzo likajirudia tena usukan ukawa mgumu na brake zikawa ngumu ukinyaga zipo ngangari! Nikapoz hapo kama dk 20 nikiwasha inamis kama haina mafuta hivi tho gauge ipo nusu na kwel nimeweka mafuta ya kutosha...ikapushiwa kdogo kwenda mbele ikawaka, sasa nilitaka kusafiri nayo toka morogoro kwenda mtwara, jaman c nitamezwa na simba njian kwa tatzo hili, nisaidieni ufumbuzi plz.
pole sana.Hapo angalia vitu viwili navyo ni plug na ignition coil kama ziko vizuri.Kama vitu hivyo viko poa je ulibadilisha lini oil ya gear box.Hawa mafundi usipokuwa makini watakuambia mambo mengi mara hiki mara kile ni bora uende kwenye gereji ya uhakika ambayo wanatumia computer kuchek engine kuliko ukawa unabuni
 
Kamanda Moshi

Kamanda Moshi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
1,438
Likes
417
Points
180
Kamanda Moshi

Kamanda Moshi

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
1,438 417 180
Fanya hivi mkuu,kwa jinsi unavoelezea tatizo la hilo gari asilimia kubwa lipo kwenye Electrical system!kwa nin nasema hivo,steering kuwa ngumu maana yake power steering haifanyi kazi,na pia brake kuwa ngumu maana yake brake system haifanyi kazi,sasa power steering na brake system haziingiliani kwa chochote zaidi ya umeme/electrical system ndo inaweza kuviunganisha hivo viwili na kusoma as tatizo,pia kuzima/kupungua speed kwa gari while unakanyaga mafuta might be oxygen sensor au MAF(Mass Air Flow) which again ni electrical dependent!
What to do now, usihangaike na mafundi mtaani,utapoteza hela nyingi bure wakat tatizo ni dogo tu,nenda kwa garage yeyote ambayo wana Car Diagnostic tool (preferably OBD 2) then waiscan gari yako na kukuambia haswaa nin tatizo!yaweza kuwa ECU (engine computer)ndo yenye tatizo and you will need to install new Software au buy a new/used one!upo dar?
 
Eeka Mangi

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Messages
3,180
Likes
11
Points
135
Eeka Mangi

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2008
3,180 11 135
Angalia fuel filter, then kama litaendelea check fuel pipe huwa mara nyingine zinakatika kwenye viungio! Pia check wiring as kama una park karibu na mahindi au nafaka basi panya huwa mafundi wa kuharibu. Pia check plugs kama mdau alivyosema hapo juu.
 
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
2,919
Likes
2,260
Points
280
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
2,919 2,260 280
Mkuu hakuna ishara yoyote ile inayotokea kwenye dashbord
 
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
2,919
Likes
2,260
Points
280
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
2,919 2,260 280
pole sana.Hapo angalia vitu viwili navyo ni plug na ignition coil kama ziko vizuri.Kama vitu hivyo viko poa je ulibadilisha lini oil ya gear box.Hawa mafundi usipokuwa makini watakuambia mambo mengi mara hiki mara kile ni bora uende kwenye gereji ya uhakika ambayo wanatumia computer kuchek engine kuliko ukawa unabuni
Service imefanyika one wik ilopita na nilisimamia mwenye we na nikivipima viko poa........
 
Mahesabu

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2008
Messages
5,223
Likes
793
Points
280
Mahesabu

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2008
5,223 793 280
system ya mafuta na umeme vyahusika, hebu tujaribu kusaidiana.... kama upo dar julisha forum members, kuna fundi wa umeme ambaye twaweza kumtumia kucheki tatizo kama ni la umeme ( japo ni fundi wa chini ya mwembe)
Twaweza mtumia kwa zero price!
 
Forum statistics

Threads 1,251,958
Members 481,948
Posts 29,791,579