Msaada interview za Jeshi la Magereza

Mamaeee maji yamezidi unga wahuni wako wanajadili kazi ya Magereza wanasahau huwa wanaiponda oooh kazi gani ya kulinda wafungwa askari mwenyewe anakuwa mfungwa.

Wekeni akiba ya maneno umbwa nyinyi
kama wanavyoiponda kazi ya polisi ila kuna uzi mmoja wa ajira za polisi wamejazana.
 
kama wanavyoiponda kazi ya polisi ila kuna uzi mmoja wa ajira za polisi wamejazana.

sasa kama watu wana vigezo vyote vyote na ajira hawana wasiache kuomba mkuu..?? Hahahahaha watu tunaenda uelekeo ulipo tuu
 
Division 1 mpka 3 na four ya 26 kama sikosei wamekatwa magereza wilaya Tanga mjini

Haya majeshi hawataki aliyefaulu

Watu wanne tu ndio wanatakiwa ktk kundi la watu 50 hapo karanga kama watatu wamekuja nao kufanya usaili na hapo hapo wanapewa kazi ya kuwapanga mistari nyie

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Kwamba karanga wanawapanga mistari halafu na watu bado wamekaza tuu..miningesepa kwakweli
 
Division 1 mpka 3 na four ya 26 kama sikosei wamekatwa magereza wilaya Tanga mjini

Haya majeshi hawataki aliyefaulu

Watu wanne tu ndio wanatakiwa ktk kundi la watu 50 hapo karanga kama watatu wamekuja nao kufanya usaili na hapo hapo wanapewa kazi ya kuwapanga mistari nyie

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Walivaa na karanga zao kwa unaaa au sio
 
Back
Top Bottom