Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Ila wanangu sitaki kuamini kua magereza watu wamepitishwa kihuni huni hakuna hata tarifa
 
Wale waliotuma maombi Makao Makuu Msalato Wa fani mbalimbali na shahada washaanza kuitwa kwa usaili ? Au ndo kusubiri PDF ya mkeka wa Majina
 
Back
Top Bottom